Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi.
Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro.
Bila aibu tena kwa kujiamini.
Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi...
Wasalaam wakuu,,,
UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya)
Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B.
Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho
1. Wadada hawanauhitaji serious wa wanaume. Hivi kweli unaweza ku disqualify mwanaume eti kwa sababu anatumia...
Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni mchezaji muhimu mnoo kama atatumika vizuri katika kuhakikisha wenzake wanasahau yaliyopita na kwa...
Karibu kila Mwananchi anajionea hali jinsi ilivo mtaani, ngano bei juu, mafuta ya kupikia,mchele,nk. kulinganisha na hali ya pesa mtaani ilivo mbaya wengi wanashindwa kununua mahitaji ya msingi nyumbani
Watu wamekuwa wakilalamika kwenye mitandao bila kujua wafanyeje maana kilio Chao kimekuwa...
Wakuu kwema?
Kama mnavyojua kipindi Hiki ni kipindi Cha mfumuko wa hatari duniani more kutokana na changamoto mbalimbali za kidunia
Sasa tulioweka akina zetu Benki thamani yake zinaporomoka huku tukiona
Mimi binafsi akina yangu niliweka kwenye fedha za kigeni, dollar nikitumaini nitakuwa...
Kipindi cha obama Russia iliivamia Ukraine wakajimegea mkoa wa Crimea.
Kipindi hiki cha Joe Biden, Russia anaimega huko ukraine mikoa miwili
Kipind cha Trump , Putin hakuthubutu.
Kiukweli Obama na Bidden ni maraisi ambao wanapaishwa sana na media kuanzia magazeti mararufu kama New York Times...
Viongoz au matajiri wengi wapo kwenye risk kubwa kiafya pale magonjwa yanapoingia au Hali ya hewa inapobadilika kuliko maskini.
Kinyume chake yawezekana maskini ni wengi na wakipatwa na majanga hakuna anayesambaza habari zao ila tajiri au kiongoz akiondoka Dunia inajua.
Viongozi wengi tulionao...
HABAR WADAU
Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu ili wadau tupeane habar simu gan kali zina discount nzuri za samsung kipind hiki cha sikukuu...
Pamoja na huu Unyonge ( Umasikini ) wangu mkubwa na wa Kutukuka nilionao GENTAMYCINE kitu pekee ambacho namshukuru Mwenyezi Mungu ( Allah ) ni Kwanza Kunilinda Kiafya kwa Kutougua hovyo na Kubwa zaidi 'Kunibariki' na Damu ya Group O+ ambayo ni Kinga tosha Kwangu ( Kwetu ) katika kupata...
Na sipendi kusema maneno mengi kwa kweli kwa sababu unajua pia unapofundishwa adabu vizuri ni vizuri ukaipata by suprise!
Ukasema eeh ndo imekuwa hivyo?!...Aah Ndio imekuwa hivyo mjomba...imeisha hioo unanielewa? Utafute kazi ingine ~ Humphrey Polepole katibu mwenezi mstaafu
Nafikiri sasa ni...
Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company.
Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya kuagiza vifaa mbali mbali kutoka china. Lakini baada ya kusikia kampuni hii ya AA Tanch Trading...
Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini.
Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
Habari za leo ndugu,natumaini u mzima.
Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila vitu vipo juu sana kiasi kwamba unabaki kushangaa nchi inaenda wapi na viongozi wanafanya nini zaidi...
Poleni kwetu sote juu ya kuondokewa na Mzee wetu John Magufuli, kifo ni kifo na kamwe hakizoeleki.
Napenda kuwashukuru sana Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa maneno ya busara hasa katika kipindi hiki cha msiba, naomba nieleweke kuwa wenzetu wa CCM wasingeweza kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.