kipindi hiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Takataka zimekuwa kero kubwa sana Mbeya Mjini kipindi hiki cha mvua

    Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama. Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka. Hawa JKT wamefeli kabisa, kwanza magari yao mengi ni mabovu sana tena sana. Ukipita Kwenye mitaa mingi ya Jiji hili...
  2. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania Serikali inaukaribisha Mlipuko au Vurugu kipindi hiki cha uchaguzi

    Chama cha upinzani Chadema kwa muda sasa wameshindwa kuunganisha nguvu ya umma dhidi ya serkali. Sasa ni serikali yenyewe imeleta kiwashio cha bomu. Chadema sasa inatakiwa ku detonate na nchi nzima ilipuke. Ni simple sana. Kwa kuwa kuenguliwa kwa wagombea wao ni mkakati, na hata baada ya...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wanasiasa mmejipangaje kupunguza tatizo kelele (Noise Pollution) kwenye kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi?

    Wakuu, Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD) Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya watanzania wana matatizo ya moyo yaani kitaalamu CVD. Hii ikanipa kihali hasa katika kipindi hiki...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tajiri MO hebu punguza Sifa katika kipindi hiki cha Usajili, unataka makombe yote ubebe wewe? Bienvenu Valentin NOMA

    Bila ya Salamu. Huwa najiuliza nilichelewa wapi kujiunga na Simba Sc? Mpaka leo nikifikiria nakosa majibu. Kifupi katika hiki kipindi cha wiki mbili nimeshuhudia chama langu jipya likifanya usajili wa kufuru. Magugu na mapandikizi yaliyokuwa yakihujumu timu yetu yametolewa na kuletwa vyuma...
  5. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga tumelala kipindi hiki cha usajili

    Naona wenzetu Simba wanasajili Kwa umakini. Mbumbumbu wamejipanga sana Ona Sasa wamemsajili dogo ambaye kwangu ndo mchezaji Bora mzawa Valentino Mashaka. Nasikia kesho saa 7 watamtambulisha Najim Musa wa Tabora United Hawa wangekuwa ni replacement nzuri ya akina NKANE NA SHERHAN Huko...
  6. thadayo jr

    JamiiForums Tanzania Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

    Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
  7. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya watu wenye ualbino yameanza tena kipindi hiki cha uchaguzi

    #HABARI Jeshi la polisi mkoani Kagera linawahoji watu 3 akiwemo baba mzazi wa mtoto Asimwe Novart (2) kwa tuhuma za kuhusika na kuibwa kwa mtoto huyo Mei 30 nyumbani kwao katika Kitongoji cha Mbale wilayani Muleba. Mtoto huyo mwenye ulemavu wa ngozi aliibwa baada ya mama yake mzazi kulaghaiwa...
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Najitahidi walau kufuatilia hili bunge kipindi hiki cha bajeti lakini Wabunge wanakera sana hasa wa CCM

    Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu. Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa...
  9. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya...
  10. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha Mvua Fanya Haya Kujilinda na Ajali za Vyombo vya Moto Barabarani

    Habari wana jukuwaa. Ni matumaini yangu unaendelea salama wewe kama mdau! Leo niwape Tips kadhaa zitakazokusaidia Kujiupusha na Ajali unapoendesha chombo cha Moto Barabarani. Ajali nyingi zinaweza kutokea kipindi cha mvua nyingi kwasababu ya uoni hafifu wa madereva na vyombo vingine hivyo...
  11. Kibiriti ngoma

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje halmashauri ya Kilwa kipindi hiki cha midterm wanafunzi wanatakiwa waende shuleni

    Habari wadau, Shule nyingi za sekondari zimefungwa hapa nchini, ila wilaya ya kilwa inaendelea kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha 2 na 4, lakini kwa hili hii wanafunzi na walimu wanatakiwa kufika shuleni, kwa mazingira haya zile siku za masomo zilizowekwa kisheria na wizara zinakuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu...
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha mgao mishahara ya Tanesco inatoka wapi?

    Umeme upo kidogo na hivyo makusanyo ni kidogo. Ukiweka gharama za uendeshaji wa mitambo na miundombinu ni dhahiri fedha inayobaki ni kidogo. Swali langu ni je wanaendelea kulipwa? Kama ni ndio, fedha zinatolewa wapi kulipa hao wasioleta tija? Waziri na wizara nzima ya nishati wanalipwa kutoka...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana tafuta sana pesa kipindi hiki vyuma vimelegezwa Rais ajaye vyuma vitakazwa upya kwa miaka 10

    Hii nchi mambo hayajawahi kuwa rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu. kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha Kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na hali ya sasa vyuma vilivyokazwa hapo nyuma vinamwagiliwa grisi nzito. Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

    Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha. Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia! Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha...
  18. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  19. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba msitafute kocha mpya kipindi hiki, mtakurupuka tena.

    Hakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya kuzinyanganya timu bara wachezaji na makocha wao bora kabla ya mwisho wa msimu. Hamna haja ya...
  20. Mstahiki Mea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania John Bocco ndiye anayeweza kuwabeba Simba kipindi hiki kigumu

    Mchezaji mwenye magoli mengi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania, mchezaji mwenye hamasa na utulivu, mchezaji mwenye kipaji cha uongozi Papa's John Bocco ndiye anayeweza kuwatoa Simba kwa wakati huu Mgumu wanaopitia wamuamini kila mchezo mpaka hapo Mambo yatakapokaa sawa.
Back
Top Bottom