kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2019

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2021 ni ya matajiri tu. Wananchi wa kipato cha kawaida jipozeni kwenye kubet tu,haina maslahi kwenu

    Alieona sehemu mwananchi wa kawaida kuguswa na bajeti ya mwaka 2021 alete hapa na sisi tuone. Boda boda kupunguziwa adhabu toka 30k mpaka 10k, kumbuka wenye pikipiki wengi ni mabosi,vijana wanapeleka hesabu tu,hapo kijana kafaidika nini? Sehemu pekee yenye watu wa hali zote ni kubet. Waziri...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utandawazi umesaidia sana kuingiza kipato katika jamii, smartphone ni mtaji wa maisha

    Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani. Kufua, kupiga pasi, kusafisha vyombo, usafi wa nyumba, kupika nk. Si watu wengi wanahitaji...
  3. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Natarajia kuhamia Dar es Salaam

    Ni Kijana ninayetarajia kuelekea Dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani Dar es Salaam sasa kama kijana kuna muda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi, chakula n.k Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo...
  4. mzeewangese

    JamiiForums Tanzania Kipato cha milioni moja kwa mwezi life style gani ya kuishi na kipi kifanyike uweze kufika mbele zaidi kiuchumi ushauri

    Habari za jioni Wadau, Wakubwa shikamooni. Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa kama nimekosea naomba iamishwe jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natumaini kuna watu waliopita kwenye stage hiyo wakafika mbali zaidi. Kwa kipato cha milioni moja kwa mwezi unawezaje kujipanga...
  5. intellect_reality

    JamiiForums Tanzania Kwanini mshahara mkubwa hauhusiani na kipato?

    Habari wanazengo, Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya kufanikiwa, lakini nimeona nisikae tena kimya wakati naona vijana wenzangu wanapotea, hivyo nimeamua...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi

    Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants, wakulima, wachimbaji wa madini ,freelancer jounalists nk wenye vipato vya msimu. Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na...
  7. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

    Habari zenu wadau! Mwaka 2020 tulitangaziwa Tanzania kusajiliwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wamefikia kiwango cha Uchumi wa Kati wa chini yaani Lower Middle Income Country. Hesabu hiyo huwa inazingatia GNI per Capita Income ambayo ina range Kati ya $1'036-$4,045 ,,ambapo kwa...
  8. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

    Ifuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania. Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi nipate kipato cha kujikimu na familia yangu nina uzoefu wa kazi za ujenzi

    Kwema wana jukwaa la JF Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam tegeta nakuja mbele yenu kuomba kazi yoyoye halali ya kujipatia kipato. Maji yamenifika ukingoni baada ya kukaa muda mrefu bila kazi na na familia ya mke na mtoto mmoja na wote macho yao kwangu kama kichwa cha familia Nina uzoefu na kazi...
  10. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Utafiti Usio rasmi: Watanzania wenye kipato cha Tsh. 20,000 kwa siku hawazidi milioni tano

    Wakuu Kwema! Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi. Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa natembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mikoa niliyoifanyia utafiti ni mikoa ifuatayo; Dar es salaam...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au kazi yoyote maalum ya kuingiza kipato

    Habari zenu waheshimiwa! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika nyanja ya uhandisi migodi na uchenjuaji. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi nyanja yoyote anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant kama production supervisor katika kiwanda...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wife kanizidi kipato lakini kila wiki lazima aniombe elfu 20 ya kusukia

    Habari wakuu. Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali. Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kiukweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu...
  13. Gshtargets

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo 'Car wash' na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?

    Asalaam alaikum. Wakuu kuanzisha tenda ya "car wash". Nakuombeni ushauri ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?
  14. Caisel

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi nijipatie kipato cha kujikimu

    Naitwa Omari Juma napatikana Mtwara, Nanyumbu, Mangaka elimu yangu ni ya sekondari lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo. Naomba mtu yeyote mwenye kazi anisaidie ili niweze kuishi kama vijana wengine naomba sana msaada wenu. Nimefikia hatua ya kuandika hii leo hapa kutokana na ugumu wangu wa...
  15. Sirai

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya nursing nimefaulu mtihani wa leseni. Natafuta kazi ya kujiingizia kipato

    Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku. 0689052541
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania WHO kutoa chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa wamepata chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati. Ghebreyesus alifanya mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya WHO huko Geneva, Uswizi, akitumia njia ya video...
  17. lup

    JamiiForums Tanzania Dada kama huwezi kutengeneza kipato hata cha sh. 500 kwa siku hufai kuwa mshauri, mpenzi, mchumba au mke wa mwanaume yoyote

    Happy new December month, (kwa heshima ya aliyeanzisha uzi ule) niende kwenye mada moja kwa moja, Kwanza naanza kwa kutoa wito kwa wanaume wenzangu, kuwa usikubalia kudate au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke asiyeweza kuwa na mawazo hata ya kujiingizia sh 500 yake japo ya vocha kwa siku au kwa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Je, Wabunge hutumia vipi vipato vyao? Inakuaje Mbunge baada ya miaka 10 bado njaa inamuendesha?

    Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa? Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yatabadilika kwenye maisha yako kipato chako kikipungua maradufu ( x 2)

    Ntahamia rasmi mkojo wa punda (balimi) ntaziacha heinken bando la data ntapunguza matumizi, kwa kiasi kikubwa nitatumia free basics Hiki chombo changu cha usafiri kinachotumia lita kadhaa kila siku itabidi nikiuze ninunue ist au vits kukabiliana na uhalisia
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Kipi huchangia maskini kudumu zaidi ndoani kuliko wenye kipato cha kati au matajiri?

    Natumai hamjambo wakuu, Ukiitazama taasisi ya ndoa utagundua maskini wakafanikiwa zaidi kudumu ndoani kuliko wenye kipato cha kati/matajiri. Je, kwa mtizamo wako unadhani ni ipi sababu ya ndoa za maskini kudumu kuliko za wenye kipato cha kati/matajiri?
Back
Top Bottom