kinondoni

Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

    Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia: "This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi" Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania CUF: Abdul Kambaya azindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika Wilaya ya Kinondoni

    MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul Kambaya amezindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika wilaya ya kinondoni. Programu hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania DC Gondwe unazuiaje mkutano mkuu wa msikiti wakati Katiba yao imekiukwa mwaka wa pili sasa?

    Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe. Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu haujafanyika kwa miaka miwili sasa. Hivi karibuni kupitia michango na jitihada zao wamejenga jengo la ghorofa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Tarimba Abbas Tarimba wa (CCM) ana Uchungu na Urais wa TFF kuliko Jimbo lake la Kinondoni?

    Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake la Kinondoni leo hii asingeshukuriwa na Kupendwa zaidi na Wapiga Kura wake? Kwa jinsi Mbunge Tarimba...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba achukua fomu ya kugombea Urais wa TFF

    Hii ndio taarifa ya leo hii kutoka kwa watoa fomu
  6. JamiiForums Tanzania Mabwepande bomba zipo maji hamna miaka miwili imepita sasa

    Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa mwananchi imedhulumiwa.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bwana Tarimba sisi wana Kinondoni hatujakutuma hayo

    Kwenye kampeni suala la mchezo ulisema utaisimamia ilani CCM kuhusu mambo ya viwanja vya wazi visiporwe, maeneo ya kucheza watoto na kadhalika! Ajabu sasa umesikika mjengoni unaongelea mambo ya TFF na jinsi inavyo deal mizozo ya 'mitimu' ya wilaya nyingine ya Ilala. Linapokuja suala la mchezo...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

    Leo ni mara ya Pili (kama siyo ya Tatu) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC. Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) ulipigiwa...
  10. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Kinondoni inaongoza kwa uhalifu hapa nchini

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka...
  11. JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana. Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Walimu 1333 Kinondoni kupandishwa cheo

    Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Wilaya ya Kinondoni ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha zoezi la kupandisha vyeo/madaraja walimu 1,333 wa shule za msingi na sekondari wa Manispaa ya Kinondoni ambao wana sifa za kupanda vyeo kwa mujibu wa miongozo na taratibu za Serikali. Hayo...
  13. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Kinondoni, tanuri la kupika viongozi

    Wilaya ya Kinondoni kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kama tanuri la kupika viongozi kwenye ngazi za juu zaidi Kumbukumbu zangu za karibuni zinanikumbusha wafuatao 1. Mama Ritta Mlaki, alikuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadaye kuwa mbunge wa Kawe na kuteuliwa na hayati Benjamin Mkapa...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

    Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM. Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
  15. JamiiForums Tanzania CAG Kicheree: Nimegundua ufisadi wa kutisha Manispaa ya Kinondoni

    Kinondoni ilikusanya ushuru Bilioni 5.9 hawakupeleka benki zikaliwa na wajanja wachache. Wizi wa fedha za Malipo ya Vibarua yasiyostahili Sh. 284,850,00 Halmashauri ya Manispaa ilifanya malipo ya Sh. 284,850,000 kwa ajili ya kuwalipa vibarua wa usafi wa barabara na kuzoa taka. Hata hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

    Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye. Maendeleo hayana vyama!
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya Wilaya ya Kinondoni unaendelea Kwa kasi Mabwepande

    Picha inajieleza vema kabisa Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika. Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya. Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi.
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO: Uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni

    Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme. Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…