Nimechoka sana na nasikia aibu jumlisha wivu , kuangalia filamu za wenzetu zikiendelea kukosha nyoyo zetu hasa kipindi hiki cha Mzee barakoa.
Inabidi watu waibuke wasapoti kazi za sanaa yetu kama tulivofanikiwa katika nyanja ya uongozi bora (nitabishiwa hapa), vipaji kichwani (kiakili), na sasa...