Je, naweza kusoma Online University kwa Course hii na nikakubalika Kimataifa?

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
406
456
Mwaka huu namalizia diploma yangu ya civil engineering Mungu akioenda. Malengo yangu niunganishe degree ya kozii hii, ila kwa online university huku nafanya kazi za civil engineering technician.

Je, inawezekana? Na kama itawezekana ni vyuo gani hapa duniani ambavyo vyeti vyake vitakubalika na TCU na kimataifa?

NB:
Naomba majibu yazingatie lengo kuu la uzi huu.
 
Mwangalie mjanja kwenye link hapo chini

Student Story: Hamis Mahushi#

1590854280266.png
 
Nimeshapitia mkuu. Na nimefurahi sana. Kama mtu huyu ni wewe naomba tupeane mawasiliano unidokeze mambo kadhaa.

Au kama utaweza kuniruhusu kuuliza hapa (bila inbox) pia ni vizuri. Hii itakuwa ni faida kwa watazamaji
 
Sio mimi mkuu, ila imekuwa ni habari nzuri kwangu pia.
 
Back
Top Bottom