Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,758
48,407
Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi sasa, ambapo haya makampuni ya kimataifa yanatumia hela nyingi sana kusaka nani mwenye weledi na bidii ya uchapa kazi wa kuyasimamia na kila wakiishia kuchagua Mkenya, anakataliwa na serikali ila yeyote mwingine awe Mhindi, Mwarabu au Chotara anaruhusiwa.

Inapaswa itolewe tamko rasmi kutokea kwa serikali kwamba Wakenya hawaruhusiwi tena kusimamia hayo makampuni, hapo itawarahishia hao nafasi wawe wanatangazia wahind na waarabu. Inapaswa ifahamike haya makampuni huwa hawaajiri zumbukuku au zwazwa yeyote, lazima wasake kwa mapana na marefu maana wana taratibu zao zilizopitia ukaguzi wa hali ya juu, na kama wanamkosa humo ndani ya milioni 60 ya Watanzania wanayemtaka, basi haipaswi kuwapangia.

------------------------

Dar es Salaam. Tanzania’s Immigration Department said on Tuesday, 24 November 2020 that it would issue a statement in response to claims that it had denied entry to a foreign national who was to start working as new managing director for Coca-Cola Kwanza.

Since Monday, November 23, social media platforms have been awash with news of a foreign national, assumed to be Kenyan, who was denied entry into Tanzania so he could assume his role as managing director for Coca-Cola Kwanza.

The news item originated as a tweet from fichuaTanzania_official’s FichuaTanzania, a Twitter handle that markets itself to its readers as one [a handle] that documents and exposes human rights abuses in Tanzania while also fighting for freedom of speech, truth and democracy.

“Leo 23/11/2020 Mkurugenzi mpya wa Coca Cola Kwanza akitokea Nairobi na shirika la ndege la Kenya Airways amekataliwa na mamlaka uhamiaji ya Tanzania kuingia nchini kutekeleza majukumu yake mapya kwa maelezo kuwa kazi anayokuja kufanya kuna watanzania wenye uwezo wa kuifanya,” the twit reads.

coca11

Literally, this is translated as: “The new Coca-Cola Kwanza managing director was on November 23, 2020 denied entry into Tanzania upon arrival from Nairobi on a Kenya Airways flight. The Immigration Department did not allow him in on the grounds that there were Tanzanian nationals who could perform his duties [at Coca-Cola Kwanza]”

Tatizo mnawakatalia kwa vigezo kwamba kuna Watanzania wanaoweza, ila hatimaye wanafuata Waarabu na Wahindi, hapo mnaanguka chali, ilmradi ngozi ni nyeupe mnazimikia.
Jiwe na genge lake wana xenophobia kali sana dhidi ya wakenya. Hadi imefikia hatua ya kuzipangia kampuni za kibinafsi, tena za kimataifa, kuhusu masuala ya uteuzi wa waajiriwa wao. Ila nilijifunza kutoka kwa ile sakata ya Vodacom na mkenya Sylvia Mulinge kwamba kwa Tz ya sasa ni baraka kubwa sana kwa wanaonyimwa vibali baada ya kuteuliwa. Maanake mmisri aliyechukua nafasi hiyo Vodacom alifunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi muda mfupi tu baada ya kuanza kazi.

Alafu baadaye tena Vodacom wakajipata matatani walipohusishwa na mikakati ya CCM ya kuinyanyasa upinzani kabla na wakati wa uchaguzi. Mwisho wa siku chuki zao zinawaumiza wao wenyewe, sio wakenya. Kwasababu maamuzi yao ya kibaguzi yanawatia hofu wawekezaji na kampuni kama hizo za kimataifa na yanashusha 'investor confidence' kwa nchi ya Tz.
 
Kwani Watanzania hakuna?
Pathetic
Rejea kwenye ule uteuzi wa Vodacom, ambapo mkenya Sylvia Mulinge alikataliwa na kunyimwa vibali. Kisha mmisri, sio mtanzania, Hashim Hendi akakubaliwa awe mkurugenzi mpya kwa visingizio kama hivyo tu. Kwa ufupi ni Kenyaphobia ndio inatawala, sio upendo kwa wazawa wa Tz. Scenario kama hizo ndio huwa wanasema kwa kimombo, "you might think you are doing me but you are actually doing yourself."
 
Halafu hicho ndio hunishangaza yaani na wenyewe pia hawapendani maana hizo nafasi zingewaendea wazawa kidogo ningewaelewa, ila zinachukuliwa na waarabu ambao wanaishia kuwatafuna.
 
Wengi wanapenda wakenya siyo kwa sababu wana extra technical capacity in a given discipline than others.
But they are being used kama terekita 😃😀😁. Hawana muda wa kazi, yeye ukimwita kazini hata jumamosi saa sita usiku, atakimbia kuja usiku. Wengi unaweza kuwatumia unavyotaka. Ndiyo maana waajiri wanawapenda. Pia hata masilahi hawayaongelei. Wakenya ukiwa muajiri wao wanakuona kama mungu. Naongea hivyo kwa sababu nimefanya nao kazi ndani na nje ya Tanzania.
 
Wengi wanapenda wakenya siyo kwa sababu wana extra technical capacity in a given discipline.
But they are being used kama terekita. Hawana muda wa kazi, yeye ukimwita kazini hata jumamosi saa sita usiku, atakimbia kuja usiku. Wengi unaweza kuwatumia unavyotaka. Ndiyo maana waajiri wanawapenda. Pia hata masilahi hawayaongelei. Wakenya ukiwa muajiri wanamuona kama mungu. Naongea hivyo kwa sababu nimefanya nao kazi ndani na nje ya Tanzania.
Naona umeandika porojo, mkenya gani huyo mpuuzi wa kufanya kazi kiwehu hvo..
Kwni ukisema wakenya ni wachapakazi utakufa..

Na kw taarifa yako mkenya hata mtoto wake akileta nyoko nyoko anakula kalamu
 
Rejea kwenye ule uteuzi wa Vodacom, ambapo mkenya Sylvia Mulinge alikataliwa na kunyimwa vibali. Kisha mmisri, sio mtanzania, Hashim Hendi akakubaliwa awe mkurugenzi mpya kwa visingizio kama hivyo tu. Kwa ufupi ni Kenyaphobia ndio inatawala, sio upendo kwa wazawa wa Tz. Scenario kama hizo ndio huwa wanasema kwa kimombo, "you might think you are doing me but you are actually doing yourself."
Mnajistukia tu na Mihemko yenu ya Kikenya plus inferiority Complex,
Nawajua Wahindi Kibao,
Waganda Kibao,
Wapakistan na Wachina Kibao walionyimwa working permits for same reasons, mtu amesoma diploma ya finance anakuja kufanya kazi Tz si ufala huo?
Kenyans mna midomo mikubwa na Mirefu kushinda hawa wote.
Mwisho wa Siku Kama unataka kufanya biashara Tanzania it's our terms and Condiotions, huwezi fungasha sepa. After all these are not serious investors aiming at exploiting, making profits and running away.
 
Wengi wanapenda wakenya siyo kwa sababu wana extra technical capacity in a given discipline.
But they are being used kama terekita. Hawana muda wa kazi, yeye ukimwita kazini hata jumamosi saa sita usiku, atakimbia kuja usiku. Wengi unaweza kuwatumia unavyotaka. Ndiyo maana waajiri wanawapenda. Pia hata masilahi hawayaongelei. Wakenya ukiwa muajiri wanamuona kama mungu. Naongea hivyo kwa sababu nimefanya nao kazi ndani na nje ya Tanzania.
Cha ajabu ni kwamba wewe tu hivi majuzi ndio ulikuwa unawakashifu wakenya na vyama vyao vya wafanyakazi. Kisa eti wanapenda sana kugoma wakitetea maslahi yao kazini. I remember everything I see and read nigga. Au huyu tikitimaji hapa sio wewe?
Boycotts are signs of failed states. It's something to be ashamed of it. Umewahi sikia mgomo Botswana, Namibia, former Libya etc.
The Migomo Republic.
 
Embu kukata mzizi wa fitna leteni CV ya mlengwa hapa sisi wana JF Tz tumpime mtajwa
 
Back
Top Bottom