kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi. Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga kutangaza utalii kwenye jezi yao kimataifa

    Klabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro. Yanga itatangaza bure Mlima Kilimanjaro pamoja na Visiwa vya marashi na karafuu (Zanzibar). "Tumeamu...
  3. JamiiForums Tanzania Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU), Umoja wa Mataifa(UN) na Mabalozi mbalimbali waendelea kufuatilia kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Ugunduzi: Kijana Mtanzania atengeneza mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa

    Kijana wa chuo cha DIT Amani Simba amemshangaza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert kwa uwezo wake wa kufuma mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa alipofanya ziara ya kikazi katika chuo hicho mwishoni mwa wiki hii. Kwa Maelezo ya Mkurugenzi wa Chuo hicho tawi la Mwanza Dkt...
  5. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe?

    Ndugu zangu, Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe? Tuamue kukataa misaada tujipinde wenyewe kama nchi kutafuta vyanzo vya mapato bila kumuumiza mwananchi. Sasa hivi wametangaza matozo lakini wanazidi kukopa nje na kurequest misaada kitu ambacho ni ujinga wa hali...
  6. JamiiForums Tanzania Simba kwenda na Wachezaji 31 kimataifa huku Yanga wakienda na 28

    Simba imepeleka majina ya wachezaji 31 CAF. Makipa wanne ambao ni chaguo lao la kwanza Aishi Manula, Benno Kakolanya, Jeremiah Kisubi na Ally Salim katika orodha hiyo. Safu ya ulinzi ina mabeki tisa ambao ni; Erasto Nyoni, Mohammed Hussein, Gadiel Michael, Henock Inonga ‘Varane’, Israel Mwenda...
  7. JamiiForums Tanzania Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Rais Samia aeleza Watanzania faida ya kutangaza utalii kimataifa

    Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Faida ya Rais Samia kurekodi kipindi kutangaza utalii kimataifa

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ●Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Imekuwaje kiungo wa kimataifa wa Uganda khalid aucho hajatambulishwa

    Habar wa sport, Leo yanga imetambulisha wachezaji wote, lakin mchezaji anaeliportiwa kisajiliwa na yanga, kutoka uganda kiungo aucho.imekuwaje akuwepo wakati wa utambulisho , na kama kuna sababu nje ya uwezo wao, si angetajwa jina tu. Kwahivyo tuamini, kweli amesajiliwa?.
  11. JamiiForums Tanzania Taliban na Afghanistan: Nini hatima yake machoni mwa kiitwacho Jumuiya ya Kimataifa

    Talibani Na Afghanistan. Nini Hatima yake Machoni mwa Kiitwacho Jamii ya Kimataifa (Nchi za Magharibi na Marekani)? Afghanistan Yenye Majimbo 34, Wilaya 421, Watu Milion 38. Je, Katika Hii Mikono ya Mapinduzi ya Taliban dhidi ya Rais Ashraf Ghani? Nini itakuwa Hatima ya Afghanistan...
  12. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

    Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa. Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano. Kitendo cha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

    Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine. Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Ni Nini Faida ya Nchi Kutangazwa Kimataifa?

    Habari Yenu wakuu Kuuliza sio ujinga licha yakuwa maswali yakijinga pia yapo. Sitaki kuwa mjuaji katika hili nataka kuwa "open minded" . Tunaposema kuwa nchi kutangazwa kimataifa, faida zake uwa ni zipi. Tumekuwa na watu/taasis mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti ambao wamekua...
  15. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

    Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Liberata Mulamula sasa unachafuka kimataifa

    Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano. Na ukasema diplomasia inaanzia ndani ya nchi, namna tunavyoendesha siasa zetu. Siasa zikiwa za hovyo hata diplomasia inakuwa ya hovyo...
  17. JamiiForums Tanzania CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

    Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua mbinu za NGOs itakuwa ngumu kumchafua kimataifa

    Kipindi hiki chadema inadeal na Nguli aliyepitia mashirika yasio ya kiserikali yaa NGOs ambazo hunena lugha inayoeleweka kimataifa hivyo ule mtindo wa kutengeneza matukio na kwenda kuomba huruma ya vyombo vya habari utashtukiwa mapema sana. #CNNachauongo
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    Hao ni CNN Na hao ni Aljazeera
  20. JamiiForums Tanzania Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

    Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu. Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa hakuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana. Rayvanny na Mayorkoun...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…