kilimo

  1. Tufanye nini vijana waone kilimo can be a proffession too?

    Hello JF, Nimeona trends huku mitandaoni kuhusu kilimo. Nyingi zinaonyesha, vijana 's preference of white collar jobs. Vijana wengi wana negative attitude towards Kilimo. This is sad, because; Vijana ndio wenye nguvu za kilimo sio wazee. I just think, compared to wazee, vijana have got soo...
  2. Kipi kifanyike kwenye kilimo?

    Hello JF, Hii ni moja ya kati za threads zangu za mwisho mwisho..LOL I am trying to cut my time spending browsing JamiiForums. So far, i am doing great, sijapost chochote in four days..LOL. Anyway, Ningependa kujua nini kinachokosekana kwenye Kilimo chetu? Ili kiwe chenye tija kwa manufaa...
  3. Kilimo cha kumwagilia kwa njia ya matone

    Jamani wana Jukwaa la Kilimo nahitaji kujua inakosti kiasi gani kufungiwa hii mipira kwenye shamba la nusu heka? Na je, nawapateje wanao funga ile mipira?
  4. A

    Magufuli ang'ara kwenye Sekta ya Kilimo. Hongera sana CCM

    Wanajamvi. Amani kwenu Leo ni siku nyingine ya kutafakari utendaji mzuri wa Rais Magufuli na serikali yake katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 - 2020. Leo tuangalie Sekta ya Kilimo. Katika jitihada za kuendeleza kilimo, kuliundwa dirisha la kilimo katika Benki ya Uwekezaji...
  5. Kwanini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria?

    Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
  6. Kwa nini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria

    Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
  7. B

    Mbeya Uyole & Mbulu: Nahitaji mashamba ya kilimo

    Wanajamvi, Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini. Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa kupata shamba Mbeya Uyole au Mbulu kama inawezekana nipate mawasiliano yako tujadili kuhusu upatikanaji...
  8. Maziwa yanayotokana na korosho kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na...
  9. Kilimo cha bangi ni fursa yenye hatari kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni serikali za nchi za Afrika Mashariki zimepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mihadarati na kupongezwa na jumuiya ya kimataifa. Kwa sasa upatikanaji wa dawa za kulevya kama vile Cocaine, Heroinna dawa nyingine kama hizo umepungua sana. Mwaka 2017 Lesotho...
  10. Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka. Natanguliza shukrani zangu...
  11. Kilimo kipi kitafaa mtaji kwa mtaji wa Tsh. Milioni 7.5?

    Wataaalam na wanazengoo kilimo kipi kinalipa mtajii milon 7.5 isiwe tuu perishable fruit na maanisha vyakula vya kuoza hapana sitaweza kulima nataka mazao yenye life span kubwa nakaribisha ushauri.
  12. Namba 18: Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Waziri wa Kilimo, Mali Asili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri amefika kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar. Mmanga anakuwa mgombea wa 18 kuchukua nafasi hiyo kupitia CCM.
  13. Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo 1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa? 2. Nikitaka kupanda spacing iwe kiasi gani toka mche hadi mche? Asanteni sana hii ni katika kuhangaika...
  14. Ufuaji wa mseto wa samaki, wanyama na kilimo cha mazao ili kuongeza tija

    UTANGULIZI Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali kidogo na shamba. Shughuli za shamba zinazoenda sambamba na ufugaji wa samaki ni pamoja na kilimo cha mazao...
  15. Kilimo cha ufuta Lindi

    Wakuu kwa wanaojua bei ya mnada wa kwanza kupitia Chama cha Ushira mkoa wa Lindi Runali mwaka huu 2020 watujuze. Asante.
  16. J

    Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kilimo cha zao la Ngwara

    Ndugu wanaJamiiForums! Samahani naomba msaada kwa anayefahamu au hata kujishughulisha na zao la Ngwara. Tafadhali naomba nipatiwe elimu juu ya kilimo cha zao hili soko lake pia. Zao hili linalimwa sana Manyara na Arusha. Msaada wenu wa hali na mali wataalamu tafadhali.
  17. Kwa wataalamu wa kilimo cha pilipili

    Wadau naomba kujuzwa. Nimelima pilipili ila baada ya mzao wa pili kwenye majani imejitokeza kama ukungu kwa chini na mimea ni kama imeanza kudhoofu. Tafadhali nini sulihisho sbb nimejaribu kuzunguka na jani kwa maduka ya pembejeo majibu ni kama yanachanganya. Ahsanteni.
  18. Kilimo na JATU: Je, kuna ukweli wowote?

    Wakuu Wa Kilimo habari! Naombeni kujuzwa habari za hawa jamaa wanajiita JATU KILIMO, wao wanajinadi kuwa ni kampuni kubwa lenye makao yake dsm, Kazi mojawapo wanayofanya ni kuwasadia wakulima kwa kuwaunganisha na kudanya kilimo kwa niaba yao. Yaani mkulima unatoa pesa 678,000 kwajili ya...
  19. Ulimaji wa zao La Mkonge. Naomba kujua gharama za kilimo na soko

    Heshima kwenu wadau, katika harakati za mawazo yanuwekezaji, kuna mdau alinidokeza juu ya kilimo cha mkonge, ila kwa kuwa sijawahi waza, wala kupata mtu ambaye amewahi kufanya hiki kilimo. Naomba kupata details za: 1. Upatikanaji wa mbegu/ miche 2. Uhakika wa soko 3. Muda wa kuanza kuvuna...
  20. Unahitaji mtaalam wa kilimo wa kukuongoza namna bora ya kuzalisha mazao yako na kuyafanyia certification?

    Salaam ndugu zangu -Je unahitaji mtaalamu mshauri wa kukuongoza namna bora ya kulima mazao mbali mbali (Mazao ya Horticulture (Parachichi, Nyanya, Hoho, Tikiti Maji, Kabichi, Karoti, Pilipili kali, Vitunguu maji, Viazi mviringo, , Cereals (Nafaka-Mahindi, Mpunga n.k), na Beverage (Hasa Kahawa)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…