kilimo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo na matumizi ya bidhaa za tumbaku upigwe Marufuku

    Ikiwa madhara ya matumizi ya tumbaku/sigara ni makubwa kwa kiwango tunachoambiwa na wataalamu wa afya; kwanini Serikali isichukue hatua za kupiga marufuku kabisa uvutaji na ulimaji wa zao la tumbaku ili kuwanusuru Watanzania na vifo vinavyotakana na matumizi yake? Kama tumepiga marufuku...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tuna chama cha wataalam wa kilimo?

  3. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa kulima Mpunga na kufanya usambazaji

    Habari wana JF, Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu. Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji, kuvuna, kuhifadhi, kuwauzia wateja wa jumla wataokuja shambani kwako na wewe mwenyewe kusambaza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania DC Muro: Wadau kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti Ikungi

    WADAU KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA ALIZETI IKUNGI Serikali ya wilaya ya Ikungi imefanikiwa kuwaunganisha wadau wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na taasisi za kifedha ikiwemo benki ya Maendeleo ya kilimo Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa kikao maalum cha majadiliano ya...
  7. CoderM

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi. Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo. Matokeo yalikua sio mazuri sana kutokana na makosa ya kitaalamu lakini nimejifunza mengi sana kwenye kilimo cha nyanya. Msimu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zafaa kuiga mbinu za kisasa za kilimo kutoka China

    Na Tom Wanjala Mnamo mwaka wa 1978, China ilikuwa miongoni mwa mataifa maskini duniani. Kutoka mwaka huo, taifa hili likaja na mikakati na harakati za kujitoa kwenye hali hii ya umaskini iliyokuwa tishio kwa mamilioni ya raia wake. Ikiwa ni nchi pekee ulimwenguni yenye idadi kubwa zaidi ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bashe aeleza mafanikio kupitia uanzishwaji wa vituo vipya vya umahiri kwenye kilimo

    Arusha, Tanzania. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameeleza mafanikio yatakayopatikana kutokana na kufunguliwa Kwa vituo vipya vitano vya umahiri kwenye mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ambavyo vimefadhiliwa na shirika la Maendeleo la Umoja wa mataifa yaani UNDP. Naibu Waziri Bashe...
  10. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Tumebuni mfumo (IT solution) kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo (agriculrural value chain) tunatafuta mdau wa kufanya naye kazi

    Hi wakubwa. moja kwa moja kwenye mada, tumedisign mfumo (it solution) kwenye mnyororo mzima wa thamani kwenye kilimo (agricultural value chain) ambao utarahisisha mahusiano na mawasiliano kwa washikadau (stakeholders) wote ambao wanaingia kwenye sekta hii ya kilimo na ufugaji. washika dau hao...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

    Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP) Na Elia Wilinasi Sikanyika Kwako Mheshimiwa waziri wa kilimo, Natumai ni mzima wa afya njema. Mheshimiwa waziri wa Kilimo, Rejea kichwa cha barua hii ya wazi kama...
  12. BABA SANIAH

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

    Habari za leo, Ntaomba kufahamishwa kuhusu Hawa Bata,nataka kuwafuga kwa kweli. Huwa naaikia wanataga mayai mawili tu kwa mwaka. Kama Kuna taarifa nyingine au kuna mtu anawafuga, mwenye uzoefu nao anifahamiahe zaidi.
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito RC Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo na Waziri wa Mifugo, Kufuatia Umuhimu wa Chakula, Baada ya Mungu na Pumzi ya Uhai, P'se Mpitisheni Uwanja Pasua

    Wanabodi, Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe...
  14. kabila01

    JamiiForums Tanzania Hizi moments huwa nazipenda sana nikiwa kwenye shughuli za kilimo

    Amani kwenu Wakulima wenzangu Umeamka asubuhi saa 11 umeingia shamba/bustani nyumbani ukapiga mzigo (Kuweka mbolea, kutengeneza tuta la kupanda mboga, umelimia miti, umeandaa shamba nk). Ukapiga kazi ukiwa mwenyewe au na vibarua mpaka mida ya saa 4:30 asubuhi. Moment ya mapumziko ndo hua...
  15. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Je, kukiwa na brand ya serikali itasaidia kilimo?

    Habarini JF! Sijui kama hili wazo lishawahi kufanyika kwingine duniani ama ni kitu kinachowezekana Ningependa Tanzania sababu tuna eneo kubwa sana lenye rutuba (arable land), Kufanyike mapinduzi/movement ya kilimo. Wananchi tulime. Serikali itafute masoko. I just think serikali ikiwa na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na 'government brand' kwenye bidhaa za kilimo

    Habarini JF! Sijui kama hili wazo lishawahi kufanyika kwingine duniani. Ningependa Tanzania sababu tuna eneo kubwa sana lenye rutuba (arable land), Kufanyike mapinduzi/movement ya kilimo, Wananchi tulime, Serikali itafute masoko. I just think serikali ikiwa na brand yake ikajinadi huko nje...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

    Hakika Rais Samia anaupepo kwelikweli | Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575bl kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70 " Hakuna kama Rais Samia " Wakati uwekezaji kwa miezi sita ya Rais Samia ukikua kwa 400% kutoka $510M March 2021 hadi $2.98bl Sept karibu...
  18. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kufanikisha mapinduzi ya kilimo kuelekea 2025

    Nyanja: Kilimo Andiko hili linapendekeza kwmb ili kuleta mapinduzi makubwa ya sekta ya kilimo yatayoendana na muda waDira ya Taifa 2025; sekta ambayo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi ambao kw mantiki hiyo basi Dira hiyo inaitegemea ili kuliingiza taifa ktk pato la kati-la-juu. Kimsingi ni ukweli...
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awataka Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara, pamoja na uwekezaji kuja na mkakati wa kilimo cha kisasa

    Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti. Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri kwa kushirikiana na sekta binafsi kuja na mkakati utakaoboresha kilimo nchini. "Natoa maelekezo kwa...
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kaulimbiu ambazo kilimo chetu kimepitia

    Nimesikia kuwa PM Majaliwa amewaagiza mawaziri wa kilimo, biashara na mwingine gani sijui, wakae na kuja na mpango kwaajili ya kilimo. Nawaza sijui watakuja na kaulimbiu gani. Hii ni historia fupi ya kaulimbiu za kilimo. 1.Siasa ni kilimo, azimio la Iringa. 2. Kilimo cha kufa na kupona. 3...
Back
Top Bottom