kilimo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuwekane wazi kilimo chenye tija ni cha umwagiliaji

    Wasalamu ndugu zangu, km ambavyo kichwa cha uzi kinajieleza miaka ya nyuma kabisa nilikua mpenzi wa kufuatilia nyuzi mbalimbali zinahusu kilimo katika jukwaa hili. Nyuzi nyingi zimeandikwa katika upande wa mafanikio tu na kusahau changamoto ambazo ndizo zinamfanya mkulima aamue vyema. Baada ya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nawaza kufungua kampuni ya kilimo ili wanaotaka kulima walime bila kuingia shamba

    Watu wangu wengi wa karibu ni wafanyakazi katika makampuni hapa Dar es salaam lakini wanapenda sana kujihusisha katika kilimo, kutokana na kazi kuwabana na uaminifu mdogo kati ya ndugu au rafiki katika pesa wengi wao wameshindwa kuwekeza kwenye kilimo kuhofia usimamizi wake utakua mdogo sana au...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  4. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia mazao kuuzwa nje kutadumaza kilimo na kuvuruga uchumi

    Wadau kwema? Kumekuwa na miito ya baadhi ya watu wakitaka serikali izuie watu kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na tatizo la bei ya chakula kupanda. Sina uhakika sana kama hilo litachangia kushusha bei ya vyakula likifanyika sasa hivi, ila nina uhakika litarudisha nyuma sekta ya kilimo...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Shirika la Uchumi na Kilimo (SUKITA) lifufuliwe

    SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama. Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kilimo hivi mwaka huu kuna maonyesho ya kilimo nanenane?

    Habari humu. Kichwa cha habari chahusika.Sioni shamrashamra za hii sikukuu pia hata matangazo sisikii.Je inawezekana na mwaka huu maonesho yakapotezewa na ukizingatia kuna kazi ya sensa na makazi. Ni maonesho muhimu sana kwa wakulima na wafugaji na huwa yanatoa fursa kubwa za kibiashara kwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ili Kuchochea Kilimo, Serikali itoe ruzuku kwenye nafaka za kuuza nje

    Nakumbuka miaka ya nyuma wakati serikali ikinunua mahindi, ilikuwa ukipita njia ya kati, kuanzia pwani mpaka singida yalikuwa mashamba ya mahindi. Baada ya Serikali kusua sua katika kununua mahindi, mashamba hayo yamepotea. Mbali na serikali kutoa ruzuku kwenye mbolea bado mashamba haya...
  8. Ndata

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu matumizi ya samadi kilimo cha mahindi

    Habari za humu ndani wadau, nimesoma maandiko mengi na kusikiliza wataalamu wengi juu ya kilimo cha mahindi. Wapo wanaosema unaweza tumia viua magugu km round up kuandaa shamba badala ya kulima. Hili wadau mnasemaje Na pili ni kwenye matumizi ya mbolea. Nataka kupanda kwa kutumiwa mbolea ya...
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania Wazo la Kujenga mabwawa kila kata linaweza kutuvusha kwenye kilimo cha umwagiliaji

    Wana JF Kuna wakati fulani mtu alikuja na wazo la kujenga mabwawa kila wilaya lakini kiuhalisia kuna wilaya kubwa sana zinakaribia kuitwa mkoa kutokana na ukubwa wa eneo lakini wakazi wachache. Naona hili linaweza kufeli na serikali isipate kinachokusudiwa. Ili kuwa na kilimo chenye tija...
  10. 7 ELEVEN

    JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokwenda kuweka historia sekta ya kilimo nchini

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote yamefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tofauti na bajeti ya 2021/22 ambayo Rais aliingia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania unaendelea kuleta mafanikio

    Fadhili Mpunji Sekta ya kilimo ni moja ya maeneo yenye fursa kubwa za ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika, lakini hadi sasa eneo hilo liko nyuma ikilinganishwa na sekta nyingine. China ni nchi ambayo kilimo ni jadi yake, na katika miaka ya hivi karibuni maendeleo ya kiuchumi na...
  13. Gama

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya Tanzania sasa ni mtihani

    Kilimo cha nyanya nchi Tanzania kimekuwa kigumu kutokamna na mambo mengi: uhaba wa mbolea ukiwa kinara. Katika msimu uliopita mfuko wa mbolea kg50 uligharimu takribani USD 20, kwa sasa mfuko mmoja unagjarimu zaidi ya laki moja. Je, mkulima atapata faida?. Wakati Bwana Lossim Lazzaro...
  14. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

    Gereza la kilimo la songwe lililoko mjini Mbeya litahamishwa ili kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium yaliyopo eneo hilo. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana na mwakilishi wa kampuni ya panda hill, inayotarajia kuchimba madini hayo Bw. Emmanuel Kisasi. Kisasi alisema kwamba watahamisha...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Aliyefuta somo la kilimo shuleni achunguzwe uraia wake na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka. Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa miaka yote. Ukanda wetu wa majirani zetu na mataifa mengine duniani wanakabiliwa na changamoto za...
  17. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Bongo Kilimo Bado sana tena sana

    Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee. Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena...
  18. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha jembe la mkono kwa Nchi ya Uchumi wa Kati

    Tanzania ni nchi huru kwa miaka 61 sasa.Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kila mkoa Tanzania ni nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo mito mabwawa maziwa na bahari. Tanzania ni nchi yenye misitu Tanzania ni nchi yenye mifugo mingi na wanyamapori wengi Tanzania ni nchi yenye...
  19. Fred Katulanda

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbegu za Vibuyu kwa ajili ya Kilimo

    Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620. Ushauri, mawazo au maelekezo kuhusu upatikanaji wake pia unapolelewa.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naingia kulima kahawa Makete

    Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
Back
Top Bottom