kilimo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, Kilimo hakihitaji maafisa wa serikali walio committed, kinahitaji ushiriki wa wanasiasa na matajiri

    Nadhani wote tunashuhudia namna wabunge wanavyolinda na kupiga kelele zinapotajwa posho na maslahi Yao. Ni mashuhuda kwamba Mzee Pinda linapokuja suala la ufugaji wa nyuki yupo radhi afunge safari kwenda Kwa Mhe. Mkubwa wa nchini kulitolea ufafanuzi, tunafahamu nguvu watakayotumia akina Zitto...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa kilimo cha mdalasini

    Miche ya mdalasini inauzwa 2600/@ +255762967548 Kampuni ya Nehemia One Co Ltd inajukumu la kufanya wawekezaji kufikia ndoto zao. Kutokana na uzoefu wa soko la MDALASINI ndani na nje ya nchi tumekuletea fursa kwenye upande huu. Uhitaji wa mdalasini unazidi kupanda thamani Hadi kufikia Dola...
  4. Nguku Wakabange

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Wataalam mlioko makini naombeni msaada wenu. Natumai mu wazima na harakati za kujenga Tanzania yetu. Mimi nimeingia kwenye kilimo mwaka huu na kwa kuanzia nililima mahindi, na hatua ya kwanza nimefanikiwa pakubwa. Ila nawaza kujiingiza mzimamzima kwenye kilimo, kila nikiwaza ni kilimo gani ina...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Kutokana na umuhimu wake wananchi waanza kulima kilimo cha Alovera

    Wakulima wengi mkoani Kilimanjaro kwa sasa wameanza kuangalia fursa mbalimbali katika sekta inayohusiana na kilimo cha mazao ya biashara pamoja na masoko yake. Baadhi ya wakulima wachache mkoani Kilimanjaro katika wilaya ya Hai wameamua kulima kilimo cha zao la alovera kama zao la biashara...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa watoto bado imetamalaki katika nchi nyingi za Kiafrika huku kilimo kikiongoza katika kuajiri watoto

    Ajira kwa Watoto ni kazi ambazo huwazuia watoto kuishi katika utoto wao, kuwavunjia utu na heshima yao pamoja na kuathiri ukuaji wao wa mwili na akili. Zaidi ya hayo Ajira kwa Watoto ni zile ambazo huingilia masomo yao kwa kuwanyima fursa ya kuhudhuria shule; kuwalazimisha kuacha shule kabla ya...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo yashirikiana na JKT kumaliza tatizo la mbegu kwa wakulima

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Machi 24, 2022: “Tutashirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uzalishaji wa mbegu za mazao mbalimbali, ili kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa uzalishaji wa mbegu bora. “Lengo letu ni kumaliza tatizo la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga nahitaji kuwa na mtaji wa shilingi ngapi?

    WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja Mkandamizaji naona kufahamu kiundani zaidi kabla sijadumbukiza hela zangu huko
  9. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Mtutura: Bei ya Mbolea ni Hatari kwa Kilimo na Uhakika wa Chakula; Serikali Isipuuze

    Msimu wa kilimo wa mwaka 2021/2022 tumeshuhudia kupaa kwa bei za mbolea hali hii ilianza mnamo mwezi Juni na Julai mwaka jana ambapo bei zilianza kupanda kwa wastani wa asilimi 20 hadi asilimia 38 na kuadimika katika mzunguko sokoni, ilipofika Disemba hali ilikuwa mbaya zaidi licha ya kuwa...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Afisa Kilimo Daraja la II Wizara ya Kilimo - Nafasi 3

    POST AFISA KILIMO DARAJA LA II - 3 POST POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER Wizara ya Kilimo APPLICATION TIMELINE: 2022-03-15 2022-03-28 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea Kukusanya takwimu za bei na mazao kila Wiki na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yaimarisha kilimo vijijini barani Afrika kwa pembejeo nafuu na bora

    Na Kelly Ogome Zaidi ya nusu ya wakazi wa Afrika wanategemea kilimo. Ripoti ya benki ya dunia ya mwaka wa 2018 inaeleza kuwa asilimia 4% ya pato jumla la dunia linatokana na kilimo, huku nchi zinazoendelea kama za Afrika zikitegemea kilimo kwa zaidi ya asilimia 25%. Aidha ukame, mvua kidogo...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wananchi wabadili aina ya kilimo cha mseto kwa kuondoa zao la kahawa

    Ukifika mkoani Kilimanjaro utaona ni jinsi gani kizazi hiki kinavyoenda kubadili kabisa aina ya kilimo cha kahawa kilichozoeleka tangu enzi ya mkoloni. Vijiji vichache nilivyotembelea katika wilaya ya Hai na wilaya ya moshi vijijini nimejionea wanavijiji wengi wakiwa wameondosha kabisa zao la...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana. Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja wengi sana. Wauzaji wao wengi hawana utaalamu wa kilimo au mifugo. Na wale walio na wataalamu basi ni...
  14. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa usaili Utumishi kwa kada ya kilimo

    Wakuu habari zenu. Nahitaji kufahamu maswali yanayoulizwa pale Utumishi kada ya kilimo hasa kazi za (TARI) kwa wale waliowahi kufanya Usaili (Written) naomba mnifahamishe hapa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli kuna mafunzo napaswa nipite ili nifungue duka la pembejeo za kilimo?

    Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo, Na kama yapo je hugharimu kiasi gani cha gedha na kwa muda gani na yanapatikana wapi hayo mafunzo...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kuitumia ardhi yetu itukomboe tofauti na ma settler katika kilimo kabla ya uhuru

    Tanganyika ilikuwa eneo la kilimo katika utawala wa Uingereza. Walitangaza uwekezaji katika kilimo na waliopenda kuwekeza iliwapasa kuonyonyesha uwezo wao wa kuiendeleza ardhi kabla ya kupatiwa eneo. Baada ya kuonyesha hati ulipewa miaka mitano uwonyeshe uwekezaji wa kudumu uluoufanya kabla ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi kinahitaji kufuga Mbwa wengi kuepuka maparachichi kukosa walaji

    Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late Najuta kuacha kulima miti ya mbao nikadamganyika na faida ya parachichi bila kujiuliza Kuna viwanda...
  18. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Unataka pesa? Ingia kwenye kilimo cha maboga

    Boga ni zao ambalo mmea wake unakuwa kwa kutambaa na ni la mviringo, ngozi yake ni nyororo na rangi yake ni ya njano inayoelekea kwenye rangi ya chungwa au rangi ya kijani. Katikati ya boga kuna mbegu na massa, Boga lipo katika jamii ya Cucurbita pepo. Asili yake Asili ya boga ni Amerika...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mihogo kinaokoa kipewe thamani zaidi

    Jirani yangu tumepakana viwanja, aliamua kupanda mihogo kwenye kiwanja chake akivuta nguvu ya kujenga. Akitafuta mbegu inaitwa kikombe. Juzi alipata mnunuzi aliyetaka Kuip ja kwanza. Alichimbiwa shina moja akaondoka. Alipoonja mihogo na kuridhika alirudi na kununua mihogo yote kwa laki nane...
  20. daraja la kigamboni

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo, anza na Bei ya Mbolea

    Refer to the heading above Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea. UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/- DAP ni 120,000/- Kuna uwezekano mkubwa kushuka kwa uzalishaji wa mazao hasa huku nyanda za juu kusini maana ardhi hii bila...
Back
Top Bottom