kilimo

  1. Sirdick Mashally

    SoC02 Nimehitimu shahada ya kilimo. Je, kuna haja ya mimi kusubiri kuajiriwa?

    Kabla hata sijamaliza kusoma shahada yangu ya kilimo (general agriculture) pale chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine, swali ambalo nilikuwa najiuliza mara kwa mara je hivi nikimaliza kusoma hapa nisubiri kuajiriwa au ninaweza kujiajiri mwenyewe Kadri nikiendelea na masomo swali hili lilikuwa bado...
  2. the_diplomat

    SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira ya ualimu, sikufanikiwa kuipata. Mwaka 2016 nikaanza kusoma Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu Huria...
  3. Sirdick Mashally

    SoC02 Nimehitimu shahada ya kilimo, je kuna haja ya mimi kusubiri kuajiriwa?

    Kabla hata sijamaliza kusoma shahada yangu ya kilimo (general agriculture) pale chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine, swali ambalo nilikuwa najiuliza mara kwa mara je hivi nikimaliza kusoma hapa nisubiri kuajiriwa au ninaweza kujiajiri mwenyewe. Kadri nikiendelea na masomo swali hili lilikuwa bado...
  4. Bushmamy

    Mbolea bei juu, maagizo ya Waziri wa Kilimo kuhusiana na kushushwa kwa bei ya mbolea yamepuuzwa?

    Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya mbolea na kuuza kwa bei elekezi ya serikali ili kumpatia nafuu mkulima. Lakini hadi sasa...
  5. L

    SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
  6. Anold Mlay

    SoC02 Madhara yatokanayo na shughuli za kilimo karibu na mto

    MAZARA YATOKANAYO NA SHUGHULI ZA KILIMO KARIBU NA MTO Shughuli za Kilimo katika nchi zinazoendelea ni kama uti wa mgongo wa uchumi wa nchi hizo. Shughuli za kilimo katika nchi mbali mbali hufanyika karibu na vyanzo vya maji ili kurahisisha upatikanaji wa maji, ambayo hutumika hususani katika...
  7. Merr

    SoC02 Kilimo kinalipa

    KILIMO ni shughuli ambazo hufanywa na wakulima au mtu yoyote anaehitaji kuwa mkulima. Mfano kilimo cha mahindi, mpunga, n.k KILIMO nishughuli ambayo hapo zamani ilikua inatumika Sana hasa vijijini na ndo shughuli maharufu tangu hapo zamani. KILIMO huleta faida kubwa kwa wakulima mara baada ya...
  8. Investaa

    Natafuta mtaalam wa kilimo na mifugo anayepatikana Dar

    Habari wataalamu wa kilimo na mifugo. Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na...
  9. N

    SoC02 Kuwashirikisha Vijana katika Kilimo - ni ufunguo wa Baadaye kwenye Usalama wa Chakula?

    Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo. Huku vijana wengi - karibu 85% - wanaishi katika nchi zinazoendelea, ambapo kilimo kinaweza kutoa chanzo...
  10. Adam tuga

    SoC02 Kilimo uti wa mgongo

    Ni majira ya Saa Kumi na Mbili jioni anaonekana Kijana mwenye furaha huku mbele yake kukiwa na watu takribani kumi na nane furaha hiyo inakuja pale kijana Shahibu Abdallah anayefahaamika kwa jina la SHEBY THE DON kufanikisha ndoto ya Familia yake kupata Elimu ya juu kwa wadogo zake wawili Nuru...
  11. Y

    SoC02 Changamoto nilizopitia katika kilimo

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya, pia natumia fursa hii kukusalimia mpendwa wangu. Mimi naitwa Seif Ahmed Sambila mkazi wa kijiji cha Hanihani wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora, kazi yangu kubwa ninayojishughulisha nayo ni kilimo, ni kazi yangu kubwa ambayo inaniingizia kipato na...
  12. J

    SoC02 Kilimo kwa maendeleo ya Jamii

    Kilimo Kwa jamii nyingi hususani za kitanzania kinategemewa kuwa ukombozi mkubwa dhidi ya umaskini na hasa kwaajili ya maendeleo ya nchi kwa ujumla.Bado kuna utajiri wa ardhi katika nchi yetu ambapo kama watu wakiamua kuwekeza itakuwa ni moja ya njia ya kuchochea maendeleo hasa katika...
  13. Linguistic

    Shughuli za Kilimo kwa Tanzania ya sasa

    Wote tunajua shughuli kuu za kiuchumi Kama Kanda ya Ziwa ni Uvuvi, kilimo, ufugaji, madini. Kanda ya Kaskazini Kuna Kahawa, Mahindi, Migomba Kanda ya Kati Wanalima Zaidi Alizeti, Karanga, Zabibu na Mahindi pia Mbeya Wanalima Zaidi mpunga, Mahindi pia nk. Wakuu Case Study ya Mada Hii ni Mkoa...
  14. Ahaz1863

    SoC02 Ushiriki wa wananchi katika kudai uwajibikaji sekta ya kilimo

    Utangulizi Kwa kipindi kirefu kumekuwa na changamoto ya ushiriki wa wananchi katika kufuatilia na kuwajibisha viongozi wa serikali katika jamii zao. Hii imepelekea ufujaji wa radimali za umma katika sekta ya kilomo na kudhohofisha usalama wa chakula. Wananchi ni nguzo muhimu sana katika maeeleo...
  15. imem2022

    SoC02 Kilimo cha mazao ya muda mfupi

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao mashambani na ufugaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku, Bata, nguruwe na kondoo. Kwa nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kilimo ndiyo sekta muhimu kwani ndio uti wa mgongo kwa uchumi wetu, kwani ni miongoni mwa sekta ambazo zinachangia pato la taifa na ni...
  16. Tukuza hospitality

    SoC02 Tunaweza kufanya Mapinduzi ya Kilimo Tanzania kwa kulima wakati wa Kiangazi

    Kwa miongo mingi nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, ambazo kilimo ni nguzo kuu ya uchumi, zimekuwa zikitegemea kwa kiasi kikubwa mvua katika kufanya kilimo. Kilimo cha aina hii kilifanikiwa kwa kiasi chake miaka ya nyuma (tuseme miaka ya 1980 na kurudi nyuma), wakati hali ya hewa ikiwa...
  17. I

    SoC02 Kilimo cha umwagiliaji hakikwepeki!

    Nchini Tanzania idadi kubwa ya wakazi wake wanajihusisha na shughuli za kilimo hali inayoifanya sekta hii kuwa uti wa mgongo kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Mchango wa Kilimo kwa Uchumi Kilimo kimeendelea kuwa miongoni mwa sekta ambazo zimekuwa na mchangi mkubwa kwa pato la...
  18. Jay_255

    SOLD: Nauza mradi wa kilimo eka 105 bei ya kutupa

    NAUZA MRADI WANGU WA SHAMBA EKA 105 KWA MILIONI 135 Ningependa kuchukua nafasi hii kutangaza kuuza shamba langu lenye ukubwa wa eka 105 lililopo kijiji cha lutukila katika wilaya ya madaba mkoa wa Ruvuma. Shamba hili lina hati miliki kabisa zenye jina langu na wala si mali ya ukoo au kijiji...
  19. D

    SoC02 Kilimo cha Jembe la mkono hakilipi

    Babu yangu Mzee Mkulima alijulikana sana kijijini kutokana na jitihada zake katika kilimo. Ingawa jamii yetu ilikuwa na uchaguzi wa mazao ya kilimo, na tulipendelea haswa kahawa, ndizi na magimbi; Babu alijaribu kulima kila kitu. Kuna wakati alitoka kwetu milimani na kwenda kujaribu kilimo cha...
  20. E

    Rais Samia anawekeza sana kwenye kilimo lakini "strategy" Wizara ya Kilimo ni sifuri

    Kiukweli wizara ya kilimo haina strategy yeyote inayoweza kukomboa kilimo chetu. Watu wengi unasikia kila mahali wakimsifu waziri bashe, ila ukiwauliza mnamsifu kwa lipi hasa alilolifanya? Hawana majibu. Mimi namshauri Bashe afanye yafuatayo: 1. Kwa soko la ndani Tanzania kwa sasa...
Back
Top Bottom