kilimo

  1. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo cha umwagiliaji hakikwepeki!

    Nchini Tanzania idadi kubwa ya wakazi wake wanajihusisha na shughuli za kilimo hali inayoifanya sekta hii kuwa uti wa mgongo kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Mchango wa Kilimo kwa Uchumi Kilimo kimeendelea kuwa miongoni mwa sekta ambazo zimekuwa na mchangi mkubwa kwa pato la...
  2. Jay_255

    JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza mradi wa kilimo eka 105 bei ya kutupa

    NAUZA MRADI WANGU WA SHAMBA EKA 105 KWA MILIONI 135 Ningependa kuchukua nafasi hii kutangaza kuuza shamba langu lenye ukubwa wa eka 105 lililopo kijiji cha lutukila katika wilaya ya madaba mkoa wa Ruvuma. Shamba hili lina hati miliki kabisa zenye jina langu na wala si mali ya ukoo au kijiji...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo cha Jembe la mkono hakilipi

    Babu yangu Mzee Mkulima alijulikana sana kijijini kutokana na jitihada zake katika kilimo. Ingawa jamii yetu ilikuwa na uchaguzi wa mazao ya kilimo, na tulipendelea haswa kahawa, ndizi na magimbi; Babu alijaribu kulima kila kitu. Kuna wakati alitoka kwetu milimani na kwenda kujaribu kilimo cha...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawekeza sana kwenye kilimo lakini "strategy" Wizara ya Kilimo ni sifuri

    Kiukweli wizara ya kilimo haina strategy yeyote inayoweza kukomboa kilimo chetu. Watu wengi unasikia kila mahali wakimsifu waziri bashe, ila ukiwauliza mnamsifu kwa lipi hasa alilolifanya? Hawana majibu. Mimi namshauri Bashe afanye yafuatayo: 1. Kwa soko la ndani Tanzania kwa sasa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Nigeria ikitengeneza $3.7bn, South Africa $ 1.7 bn kwa mwaka kwa kilimo halali cha bangi, Mwigulu na Samia wanazidi kuwakamua ' Damu' Wa- Tz.

    Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM. Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio...
  6. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo biashara anzia Sokoni

    KILIMO BIASHARA ANZIA SOKONI. Mkulima ili aweze kufanya uchaguzi wa kilimo anachotaka kufanya inatakiwa afanye ziara katika soko ili aweze kujua ni nini wateja wanahitaji, na nikwa kiasi gani, na ubora upi unahitajika, na nibei gani iliyopo Kwa wakati huo. Haya yote mkulima yanamsaidia kuweza...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu hawakuwa na Pension, walitegemea Kilimo na ufugaji. Sisi itakuwaje?

    WAZEE WETU HAWAKUWA NA PENSION, WALITEGEMEA KILIMO NA UFUGAJI; SISI ITAKUWAJE? Anaandika, Robert Heriel. Zamani ilisemwa; Jembe halimtumpi Mkulima, ikimaanisha kuwa Ukilima lazima uambulie chochote kitu. Iwe ni masikini au tajiri lazima upate. Hii ilitokana na Hali nzuri ya tabia ya nchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushirikishwaji, fursa za kilimo ni biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote yanategemea namna anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini. Wakati maarifa yanaambatana na teknolojia iliyopo, Imani ni maono ya fikra za dini, falsafa ama itikadi. Kwa kuwa binadamu haishi pekee, bali ndani ya makundi yenye mamlaka na dhamana ya...
  9. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka* Na Mwandishi Wetu, Tabora...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ardhi nzuri yenye rutuba kwa ajili ya kilimo

    Habari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori. Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi. Napendelea maeneo ya bushi kidogo kwani sina ela ya kupgana vikumbo na matari mijini. Nahitaji kwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Juhudi hizi za Rais Samia katika kilimo ni neema kwetu

    Je wajua? 60% ya watanzania wameajiriwa katika sekta ya kilimo. UMWAGILIAJI Kuanzia msimu ujao wa kilimo, Serikali chini ya Rais Samia kuwajengea Wakulima wa zao la chai wa mikoa yote mabwawa makubwa ili waanze kulima zao hilo kwa njia ya umwagiliaji ili kuongeza tija na uzalishaji.Tanzania ina...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo fursa za kilimo biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote hutegemea namma anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini na kuyatamani. Wakati maarifa ni zao la teknolojia iliyopo, maono hutokana na mitazamo na uelekeo wa fikra za Imani za dini, falsafa na itikadi. Ndio kusema teknolojia na maono ndio msingi wa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo

    Kilimo ni shughuli ya kibinadamu inayojumuisha uzalishaji wa mimea na ufugaji wa wanyama. Miongoni mwa mazao ya chakula yanayolimwa ni pamoja na mahindi, ndizi, maharage, mihogo, mtama, uwele, njegere, choroko, karanga na viazi. Mazao ya biashara yanayolimwa ni pamoja na karafuu, pamba, alizeti...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Shaka atumia Kijiwe cha Kahawa Tabora kuelezea Mwelekeo wa Rais katika Kilimo

    SHAKA ATUMIA KIJIWE CHA KAHAWA TABORA KUELEZA MWELEKEO WA RAIS KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini na kunywa kahawa na wananchi na kutumia fursa hiyo kuelezea hatua...
  15. Phenol 41

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mikakati madhubuti ya kuboresha Sekta ya Kilimo Tanzania

    Utangulizi Kilimo ni kitendo cha kuzalisha mazao shambani. Ni mojawapo ya shughuli za mwanadamu zinazomsaidia kupata mazao kwaajili ya chakula na biashara ili kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Nchini Tanzania kilimo ni miongoni mwa shughuli muhimu na inayofanywa na watu wengi nchini, hii ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo cha parachichi ni fursa

    Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali kama mafuta na bidhaa nyingine nyingi. Lakini pia zao la parachichi limekuwa hitaji kubwa sana...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo biashara, dhana ya kimapinduzi ya Rais Samia yenye tija kubwa

    Serikali kupitia Benki ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) imeweza kuwa mdau mkubwa kuwezesha mabenki kutoa mikopo kwa wakulima kutoka Benki mbili zinazotoa mikopo kwa wakulima hivi sasa kufikia 14. BAJETI YA KILIMO Serikali imeweza kuongeza bajeti ya huduma za Ugani kutoka...
  18. Nguku Wakabange

    JamiiForums Tanzania Kujenga na kilimo kipi kitangulie?

    Ndugu wanaJF poleni na majukumu. Vijana wengi huwa tunaumiza sana vichwa tena mara pengine tunashindwa kufanya maamuzi sahihi. Nakumbuka kunawosia nilipewaga na mzee mmoja lakini ukiangalia inamashiko kiasi flani.. Huyo mzee aliniuliza niko na miaka mingapi wakati huo nataka kujenga kijinyumba...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuzibeba nchi za Afrika na nyingine kwenye sekta ya kilimo

    Serikali ya China imetangaza hivi karibuni kuwa kuanzia mwezi Septemba mwaka huu itaondoa kabisa ushuru kwenye asilimia 98 ya bidhaa za kilimo kutoka nchi 16 zenye mapato ya chini, tisa ya nchi hizo zikiwa ni nchi za Afrika. Hatua hii ni mwendelezo wa hatua kama hiyo iliyochukuliwa kwenye...
Back
Top Bottom