kilimo

  1. tpaul

    Tozo ya mifugo, kilimo na mali itaanza hivi karibuni

    Ndugu zangu naandika hii taarifa nikiwa mnyonge kama kinda la ndege lililonyeshewa na mvua ya mawe baada ya kutelekezwa na mama yake. Sitaki kuwachosha na maneno mengi ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuwa wengi wetu tumechoshwa na tozo hizi za mchongo zinazotukamua na kutuacha bila...
  2. peno hasegawa

    Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

    Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT). Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
  3. Idugunde

    Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

    "Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi inaendelea."__ Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi
  4. JanguKamaJangu

    Malawi: Rais amfuta kazi Waziri wa Kilimo na Naibu wake

    Rais Lazarus Chakwera amefanya maamuzi hayo kwa Lobin Lowe na Naibu Waziri Madalitso Kambauwa Wirima sababu ikiwa ni usimamizi mbovu na uzembe. Wizaŕa hiyo inashutumiwa kwa kuchelewesha utekelezaji wa mpango ambapo wakulima wa vijijini wanapatiwa mbolea ya ruzuku na pembejeo za kilimo. Lowe...
  5. Bwana Mpanzi

    Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  6. C

    Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
  7. Drat

    Mwongozo Kilimo Cha Kisasa: Greenhouse

    Habari wadau? Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre. Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha na kuendesha mradi. Lengo ni kufanya shughuli hii katika maeneo jirani...
  8. Mwl Athumani Ramadhani

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Mkuu Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje! Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/=...
  9. Shujaa Nduna

    Huku mambo kero, Waziri wa Kilimo pitia hapa

    Mheshimiwa waziri wa kilimo salam, Mimi ni mkulima wa hali ya chini tu lakini kwakweli kumekuwa na kero kubwa ktk maeneo kadha kwenye vituo vya kupata mbolea kwa bei ya ruzuku. Mtu unaenda leo kutwa inaisha kwajili ya kuandikisha details halafu siku inayofuata unasimama foleni toka asubuhi...
  10. M

    Tuambie unahisi ni jambo gani limesaidia kufanikiwa kwenye kilimo

    kipi kilimo kinalipa, mtazamo na ukweli ninaojua ni kilimo cha mazao ya kudumu, kahawa, korosho, parachichi, ndizi nk ni mazao machache sana yasiyo ya kudumu yanayolipa mfano viazi mviringo, mpunga, tumbaku, mahindi(huku tunapiga pesa kutegemea msimu nimetaja mazao yanayolimwa nyanda za juu...
  11. P

    Fursa: Business plan sekta ya kilimo

    Wasaalam ndugu zangu, ninahitaji kupata huduma ya mtaalamu mwenye uzoefu wa kuandika business plan za sekta ya kilimo.
  12. Tanzaniampyawa

    Uboreshaji wa Sekta ya Kilimo

    Kwa ajili ya WATOTO wao wenye nguvu na wachawi sana kuelewa SEKTA YA KUPAMBANA (UJAMAA VS JAMAA)… Taasisi za UMOJA WA MATAIFA UN {ILO, UNHCR, FAO} ina mpango wa kuleta matrekta 70,000 na utengenezaji wa matrekta zaidi ya 10,000 NCHINI TANZANIA kwa ajili ya kusaidia shughuli za kilimo. Tunaomba...
  13. BARD AI

    Morocco yatoa vibali 10 vya kwanza vya kilimo cha Bangi

    Vibali hivyo kwa wakulima vinawapa ruhusa kisheria kulima na kuandaa mazazo ya Bangi viwandani na kuuza nje kwa mara ya kwanza. Wakulima kutoka maeneo ya Al-Hoceima, Chefchaouen na Taounate wataruhusiwa kuzalisha na kuuza bangi kwa matumizi ya matibabu na viwandani, kwa mujibu wa sheria...
  14. mgt software

    DOKEZO Taarifa za kiuchunguzi kwenda Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo juu ya Ukaribishaji wa Jangwa na Njaa

    Wana JF Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi. Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza kupotea kutokana na watu wakidhani wameyakabili maisha kwa kupanda miti hii baadae wauze mbao...
  15. BARD AI

    Ruto aondoa zuio la mazao ya GMO, aruhusu bidhaa na kilimo cha mahindi yake

    Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012. Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha...
  16. Equation x

    Tukiwekeza kwa matajiri wanaotokana na viwanda na kilimo, umasikini utakuwa ni historia

    Mtazamo wangu; Kama tukichukua matajiri wakubwa 1000 wanaotokana na umiliki wa viwanda; viwe vya kati au vikubwa. Pamoja na matajiri 1000 wanaotokana na kilimo; wakapewa sera nzuri ya kodi, sera nzuri kwa masoko ya nje, sera nzuri katika kuagiza vipuli, na wakawezeshwa kwenye mitaji ya...
  17. Mwanaisha Mndeme

    Kilimo cha Vanilla

    Habari wadau!Naomba nipate mawazo/ushauri/ujuzi juu ya kilimo cha Vanilla
  18. JamiiForums

    Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Utangulizi: Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa...
  19. A

    SoC02 Tajirika katika kilimo cha almasi ya kijani(parachichi)

    Katika siku za hivi karibuni baada ya ongezeko kubwa la uhitaji wa zao la parachichi ndani na nje ya nchi ya Tanzania kutokana na ongezeko la matumizi ya bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao la parachichi,bei ya zao hili imezidi kupanda mara dufu na hadi kufikia hatua wakulima wa zao hilo kuanza...
  20. M

    SoC02 Kilimo chenye manufaa

    Moja ya kilio kikubwa mashambani ni mavuno, pamoja na nguvu nyingi zilizowekezwa na watanzania wengi lakini mavuno yameendelea kuwa hafifu ama kukosekana kabisa. Yote hii inasababishwa na matumizi ya njia duni za kilimo pamoja na kukosekana kwa ardhi yenye rutuba. Sehemu kubwa ya ardhi hiyo...
Back
Top Bottom