Nyangabo2022
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 101
- 128
Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia 1500 za mpunga katika shamb la hekar 75 anazolima maana Kanda anayolima mvua sio tatizo! Mwaka Jana Dec kauza mpunga gunia 1500* 120000= 180000000 cash. Ad kapata tamaa y kuongeza ukubwa wa shamba ili anufaike Zaidi.
Anataman kuacha ualimu sababu anahisi anaumia na kazi yenye kipato kidogo! Nmemwambia anipe muda ili nchakate Jambo lake!
Wadau mnahisi ushauri gani unamfaa mwenzetu huyu.kumbu anataka kuacha kwa kuchoshwa na mikikmikik y watawala wakat anauwezo wa kujipatia mapato hayo bila kusumbuliwa na mtu.
Karibuni