Naomba kujua sehemu gani ndani ya wilaya ya Ngara naweza kuwekeza kilimo

Tohoa

Member
Sep 13, 2021
28
17
Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa.

Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu.

Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo.

Naomba msaada kujua sehemu gani ndan ya wilaya ya ngara naweza kuwekeza kilimo.

Kwa kunitajia kata au hata Kijiji ilinikapate shamban kwa ajili ya kilimo.

Eid Mubarak!
 
Naomba msaada kujua sehem gani ndan ya wilaya ya ngara naweza kuwekeza kilimo.

Kwa kunitajia kata au hata Kijiji ilinikapate shamban kwa ajili ya kilimo.

Eid Mubarak!
 
Ngara panafaa. Ukifika ngara,kuwa kama unashuka kwenda rusumo. Ukishamaliza kuteremka mteremko mkali wa kijiji cha murukulazo just like 500m to murunyinya kuna kibarabara kinakata kushoto. Ingia nacho utafika kwenye mabonde yenye rutuba ya mto kagera. Ulizia kijiji kinachoitwa KIBOCHO. Utayakuta mashamba mengi sana. Anza kutafutia hapo.
NB.. Kuna cheap labour ya warundi na wahangaza.
 
Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa.

Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu.

Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo.

Naomba msaada kujua sehemu gani ndan ya wilaya ya ngara naweza kuwekeza kilimo.

Kwa kunitajia kata au hata Kijiji ilinikapate shamban kwa ajili ya kilimo.

Eid Mubarak!
Unaenda kulima hekari ngapi? Make unaweza kuta ni heka 5 ndio zinakupeleka Ngara,
 
Ngara panafaa. Ukifika ngara,kuwa kama unashuka kwenda rusumo. Ukishamaliza kuteremka mteremko mkali wa kijiji cha murukulazo just like 500m to murunyinya kuna kibarabara kinakata kushoto. Ingia nacho utafika kwenye mabonde yenye rutuba ya mto kagera. Ulizia kijiji kinachoitwa KIBOCHO. Utayakuta mashamba mengi sana. Anza kutafutia hapo.
NB.. Kuna cheap labour ya warundi na wahangaza.
Warundi wanapiga kazi kuliko aina ya raia yeyote Tanzania, ukitaka kuwajua vizuri waone wale wa Kagera Sugar.

OP nahisi ungelima alizeti, kahawa haina bei nzuri na usumbufu kiasi ingawa miaka mitatu baadae hubaki na kazi kubwa kama ulitumia mbegu nzuri. Alizeti msimu kwa msimu na unaweza badili ardhi ukaamua ulime soya au kitu kingine kulingana na bei na soko. Kahawa hustawishi kwenye shamba la kukodisha mpaka ununue, alizeti unaweza kodisha mashamba mengi ukalima. Alizeti kiuwekezaji ni nzuri zaidi na less risky
 
Ngara panafaa. Ukifika ngara,kuwa kama unashuka kwenda rusumo. Ukishamaliza kuteremka mteremko mkali wa kijiji cha murukulazo just like 500m to murunyinya kuna kibarabara kinakata kushoto. Ingia nacho utafika kwenye mabonde yenye rutuba ya mto kagera. Ulizia kijiji kinachoitwa KIBOCHO. Utayakuta mashamba mengi sana. Anza kutafutia hapo.
NB.. Kuna cheap labour ya warundi na wahangaza.
Asante sanaa
 
Back
Top Bottom