Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia...
Wana JF habari za uzima, natamani nifanye kilimo cha nyanya ifikapo masika, ila bado kuna mambo nashindwa kuyaelewa vizuri.
1-Nyanya inaitaji joto la wastani, lakini mimi nipo Pwani maeneo ya Mkuranga muda huu joto linasoma 27° . Sijui kama mmea utastawi vizuri au kama kuna mtu analima maeneo...
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika sekta ya kilimo cha bustani. Sekta hii ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kutoa ajira kwa watu wengi. Hata hivyo, ikiwa uwajibikaji na utawala bora hauzingatiwi, sekta hii inaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya...
Salaam, Bila shaka ninyi wote ni wazima wa Afya. Nimekuwa mdau lakn pia mkulima kwa muda mrefu Sana, nimekuwa nikiona ups and downs katika Kilimo na hii imenipa Kujifunza mengi ikiwemo makosa yanayofanyika mara kibao katika Kilimo.
Najua fika wapo vijana au wadau wengi Sana ambao Wana Mahaba na...
UWEKEZAJI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KILIMO UNA DHAMIRA KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA-NDG KAWAIDA
Mwenyekiti Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameadhimisha Sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutembelea na kukagua maendeleo ya programu ya Boresha Kesho Iliyo Bora...
KOMREDI KAWAIDA - HALMASHAURI TENGENI MAENEO YA KILIMO
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida ameendelea kukagua maendeleo ya mafunzo ya Kilimo kwa vitendo Shambani wanapofanya Programu vijana wa BBT na kupata wasaa wa Kuzungumza na vijana walio kwenye program hiyo.
Aidha Ndg...
Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa.
Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu.
Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo.
Naomba msaada...
KOMREDI KAWAIDA - MRADI WA B.B.T USIPOFANYA VIZURI TUTAWALAUMU WIZARA YA KILIMO
Kilombero. Wakati Wizara ya Kilimo ikitekeleza mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida amesema chochote kitakachokwama lawama ataitupia wizara hiyo.
Kauli...
MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde.
"Wakulima wa...
Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu.
Bidhaa za...
KOMREDI MOHAMMED KAWAIDA ATAKA TIJA KILIMO BBT
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Ali Kawaida amewataka vijana nchini kutokidharau Kilimo na badala yake wakikumbatie na kuiona kama kazi itakayowainua kimaendeleo.
Akizungumza wakati alipotembelea mradi wa Jenga Kesho...
Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa miradi hiyo wakitumia mbinu za ushawoshi
Location - Tanzania
Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience
Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania.
Our client is a...
Wakuu nawasalimu,
Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target?
Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
Wizara ya ujenzi inaweza kuandaa mkakati wa kuibua wakandarasi wadogo, hasa wanaomaliza vyuo na kuwa na uzoefu ambao wataona unafaa.
Wawatake kuunda kampuni, na wawape kipaumbele Cha tenda za ujenzi za kiwango fulani wakati wakikua kama kampuni. Kampuni hizo ziorodheshwe, na iwe sharti kuzipa...
Na. Mwandishi Wetu.
Wataalam sekta ya kilimo kama wataendelea kuwatembelea wakulima na kutoa elimu kwa wakulima watasaidia kuiinua Sekta ya kilimo Nchini.
Akizungumzia juu ya teknolojia katika sekta ya kilimo nchini Mkurugenzi Mtendendaji wa Chama cha Wafanya Biashara Wenye viwanda na Kilimo...
Katika hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu mapitio ya serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka 2023/2024 amesema mikopo inayotolewa na benki ya maendeleo ya kilimo imetoa shilingi bilioni 78.54 kwa wakulima 119,797...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:-
1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
Benki ya Dunia WB imeahidi kutoa Msaada wa dola milioni 300 sawa na Bilioni 700 Kwa Ajili ya sekta ya Kilimo.
---
Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha Dola za Marekani milioni 300 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 702 za Tanzania ili kuimarisha miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji nchini...
Ni mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao.
*Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa.
*Tushaona mahindi yakioza huko Songea na Katavi.
*Tushaona wakulima wa korosho wakiuza korosho kwa bei ya hasara ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.