kilichotokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ule ni usaliti, kukata tamaa kwa wanachadema au kupuuzwa kwa uongozi wa juu wa CHADEMA na mipango yao mibovu kuhusu maandamano?

    Maana, bilashaka yoyote, kwa umoja na uzalendo ule wa kiwango cha juu sana walionyesha wanaChadema, mashabiki wake na wananchi wasio na vyama, kugoma na kutokuthubutu kuitikia wito wa Chadema wa kuandamana, ni ishara ya wanachama wa chama hicho kuanza kuususia na kupuuzia mipango, maamuzi na...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Uongo/Chuki ina nguvu sana, Ona kilichotokea kwa Michael Jackson

    Kuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa. Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara yake nchini aliweza kuitembelea shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Hivi unaendaje kuweka karakana ya Mwendokasi katikati ya mji? Bado hamjajifunza kwa kilichotokea Jangwani?

    Bado hamjajifunza tu, mwanzo mlifosi mkaweka karakana pale Jangwani, kilichowapata kila mtu anajua. Mwaka huu tena mmeamka na akili zenu finyu mnataka kwenda kuweka karakana pale Simu 2000 a.k.a Mawasiliano. Hivi ni mnatumia akili kufikiri au mnatumia mgongo? Kwa sasa mradi wa mwendokasi...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea leo Monaco: Mcheza kwao utunzwa

    Msilale bila kujikumbusha kwamba Charles Lecrec (Ferrari) mtoto wa miaka 26 kutoka Monaco, kashika namba 1 uwanja wa nyumbani, Circuit de Monaco kwa kutumia muda wa 2:23:15.554 (saa: dk : sekunde. mil second). Ni habari mbaya kwa Max the Mad Max the Super Max kwa kushika nafasi ya 6 ivyo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Wakili aelezea kilichotokea sakata la Mkurugenzi City Casino anayetuhumiwa kumnyanyasa kingono mke wa mtu

    Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kilichotokea; Watumishi wa umma bora wafe tu

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watumishi wa umma wasipoweza kuondoa viongozi dhalimu bora wafe tu. Nakubaliana na Mwalimu Nyerere ila najiuliza kama watumishi wa umma ni waoga na wameshindwa kuondoa viongozi dhalimu na kumwachia Rais kazi hiyo peke yake! Kweli tupo tayari kuwanenea kifo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea Zanzibar kuhusu kula hadharani Serikali ipige marufuku maafisa wa Serikali kukimbilia vyombo vya habari kutoa ufafanuzi, DPP ajiuzulu

    Napongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar KULAANI waliojichukilia sheria mikononi wakidai kupiga marufuku kula adharani Ningependa pia yule mtalii aliyetuzwa fedha arejeshewe fedha zake na wale waliokamatwa na polisi waachiwe huru. Wakati huo huo jeshi la polisi lifute kauli yake na DPP...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi, Padri asimulia kilichotokea

    Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi - Sinza, Padre Josephat Celestine Muhoza amesema kuwa Kanisa lao lina taarifa kuhusu tuhuma za mlinzi wao mmoja anayetambulika kwa jina la Baraka kudaiwa kuhusika na tukio la kumlawiti Mwanafunzi wa darasa la Tano mwenye umri wa...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Singida FG nimeshindwa kukiweka Kihasibu

    Singida Fountain Gate FC ipo nafasi ya sita na alama zake 16 baada ya michezo 16! Mwendelezo wake umekuwa si mzuri inawezekana hii ni baada ya kuondeokewa na nyota wake kadhaa waliojiunga na Ihefu wakati wa dirisha dogo la usajili. Kumekuwa na story nyingi kuhusu uendeshwaji wa Singida Fountain...
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

    JF be the first to know, Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia. Ukweli ni kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

    Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas Hatimae hamas wamefanya kile wanachoweza vizuri, unyama na ukatili. Madogo wamekufa, assets za taifa katika kilimo zimepotea ila maisha yanaendelea ni kama hakuna kilichotokea. Vinavyotrend ni misso missondo, walioenda dubai, mademu wa...
  15. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara kuhusu kilichotokea Mlima Hanang

    Naweza kusema haya sasa ndiyo maelezo sahihi ambayo yana make sense, maana kama umemaliza form 4 naamini umesoma Geography, na hizi mambo za Mass Wasting na Mud Slides ni vitu tulivyosoma kwenye Physical Geography. ★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★ Dr. Derick Magoma, Ph.Dambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA...
  16. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Kateshi, Hanang kitatokea tena Same na vitongoji vyake mara nyingine. Msije kushangaa

    Kwanza nawapa pole wote waliokumbwa na janga lililotokea wilaya ya Hanang mji mdogo wa Kateshi. Jambo la kujiuliza tutaendelea na majanga ya aina hii mpaka lini kwanini hatujifunzi? Mwaka 2009 lilitokea janga kama hili kule Same...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Harmonize Aleta Msisimko Kariakoo: Biashara Zasimama, Mwendokasi Zasimama!

    https://youtu.be/rK1Y8GhcZFI = https://youtu.be/B_cAMoJBT5Q
  18. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea leo ndicho ambacho Al Ahly walikuwa wakifanye kule Cairo na Dar

    Matokeo yalikuwa yanawapumbaza mashabiki na kujisifia pira objective ilihali timu kupata clean sheet ni mbingu na ardhi. Mpira objective unaanzia kwanza kutoruhusu goli ovyo ovyo. Mechi dhidi ya power dynamo ilikuwa ni tahadhari ya timu ielekeapo lakini matokeo yakawapumbaza watu, kisha Al Ahly...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

    https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa. Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Sokolov baada ya kufufuka asema hakuna kilichotokea

    Kama ilivyowahi kusemwa kuwa mafanikio ya kivita ya Ukraine kati yake na Urusi kuwa namba zake huenda hazipigwi kwa base ten kwani daima huwa ni makubwa mno kuliko uhalisia unaonekana. Wiki iliyopita Ukraine ilitangaza kupiga makao makuu ya jeshi la majini la Urusi kwenye bandari ya Sevastopot...
Back
Top Bottom