Mambo vipi wana JF.,.
Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS.
Sasa...
Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
Moja kwa moja.
Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo waaathirika hawakuwa Hamas peke yake mpaka Raia wasiokuwa na Hatia katika Wazee , watoto nk. Na wakaenda...
Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa.
Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
Mkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru...
Leo kitengo cha mawasiliano serikalini wana kazi nzito sana, sijui watachomokakaje na hii report
https://www.youtube.com/live/_rc5FxROnDs?si=UAsP2YZa9uBveWg1
Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu.
Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi.
Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi...
Habari wana jamvi, huwa siandiki kuhusu siasa humu JF, Mara nyingi utanikuta MMU tu, anyway that's not a story. Story ni hili la kujifunza baada ya mambo yote yaliotokea tangu October 29 mwaka huu 2025.
Nimekua na bahati ya kufanya kazi kwenye makampuni makubwa sana nje na ndani ya Tanzania...
Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako.
Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka 2 ambapo Engineer aliongozana na Aziz Ki kwenda kwenye tamasha, na haikuwa mara yakwanza Engineer...
Wakuu,
Kwa hili vibe nililoona mitaani leo. Mabanda ya mpira kujaa, kila mtu kuongelea mpira status na mitandao yote kuzungumzia kuhusu mpira nadhani ifike muda CCM ifute kabisa masuala ya mipira
Watu wanatakiwa wafocus na masuala ya kimaendeleo kama kilimo, uvuvi na ufugaji.
Haiwezekani...
Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!.
Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!.
Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa wameonekana ni WAHAINI na Kila Mmoja ameshughulikiwa Kwa namna yake.
Unaweza kujaribu kuwazaz Nini itakua...
https://www.youtube.com/live/R_ERBPwVE60?si=uVu108w1keo7MI_7
Katibu wa baraza la Maaskofu nchini TEC Padri Charles Kitima nafunguka namna alivyoshambuliwa
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na...
Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni.
Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania.
Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza...
Kipigo cha Wazaliwa wa Kwanza Kilichotokea Misri
Je umewahi kutafakari kwa nini mapigo yote 9 aliyopigwa Farao bado moyo wake ulikuwa mgumu? Na kwa nini lile pigo la 10 la kufa wazaliwa wa kwanza ndipo akawaruhusu wana wa Israeli?
Maana yake ni kuwa Farao aliendelea kuwa na moyo mgumu mpaka...
Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni.
Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa...
Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu.
Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi.
Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40.
Ikaja gari...
Sina Maneno Mengi ilaaaa....
Baada Ya Ndoto Ya Kuota Niko Darasani Karibia Kila Siku Kwa Takribani Mwezi Kilichotokea Ni Hasara Kubwa...
Kupoteza Pesa Sehemu Flani Nlipowekeza,Kufeli Kwa Jambo Muhimu Aisee Ni Noma.
Sasa Siku Ya Pili Mfululizo Naota Nachomwa Kisu.
Naogopa Sasa Ndoto za ajabu aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.