Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na kampani yake ya mabinti wengine na wana mpango wa kuondoka wote. Nikasema isiwe kesi, basi tutaonana...
Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa.
Hapa kwetu Mkoani Songwe kuna jambo limetokea likimhusisha Kaimu Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania...
Anonymous
Thread
jamii
kilichotokea
kuhusu
meneja
mkoa
serikali
songwe
takukuru
tanroads
tuhuma
Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola.
Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA.
Nlikumbuka sana...
Kumuelewa Putin inabidi angalau uwe umesoma kakitabu kadogo kanaitwa Arts of War by Tsu Nzu.
Siku ya jaribio la mapinduzi la mchongo lililofanyika Jana na Majeshi ya Wagner ilikuwa ni siku maalumu ambayo wameitumia kusogeza majeshi ya Wagner kilometer 100 kuelekea Kiev. Yaani kama kiev ingekuwa...
Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima.
Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri.
Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui afanye nini.
Camera kwa...
Walipoanza ilionekana kana kwamba hawa jamaaa ni marafiki sana but mambo yalikuja badilika. Kagame kama Magufuli hana rafiki wala adui wa kudumu.
Kuna sehemu maslahi ya hizi nchi mbili yalipishana. Kagame akaamua kunyamaza maana alishaambiwa Magufuli alikuwa anamlia timing ajichanganye tu...
Mzee Mwinyi ana miaka 96, ameishi juu ya ardhi kwa miongo tisa na miaka sita. Wenye kuishi mpaka kufikia umri huo ni wachache sana. Ni baraka kufikia uzee huo. Pia ni kielelezo cha karama mbalimbali zilizotumiwa kwa nidhamu ya kipekee wakati wa ujana wake.
Mojawapo ya karama hiyo ni ule...
Watani zangu sijui mmelikosea nini hilo Ziwa hakyanani. Mwaka 1996 mmekwazana nalo kwa Meli, leo tena kwa Bun'go na inaonyesha huko Mbeleni hata Mkoa wenu wote nao utazama mazima tu humo Majini.
Kimsingi Law School of Tanzania inapaswa kushughulika na kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa vitendo ndiyo maana inaitwa LEGAL PRACTICAL TRAINING! Inalenga kuwapatia wanafunzi weledi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa vitendo zaidi. Hawajaenda pale kushindiliwa tena elimu ya sheria kwa...
Habari!
Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect.
Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza.
Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona...
Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣
Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana...
Habari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie kuwanae kuniwekea masharti kwenye chakula cha mwili baada ya kumvumilia kwa miezi tisa.
Kazi ipo kwa...
Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti.
Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote.
Namna...
1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao.
2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
baada
baba
denis urio
john
kesho
kesi
kesi ya mbowe
kilichotokea
ling'wenya
luteni
luteni denis urio
luteni urio
maisha
mbowe
mdogo
tanzania
tujadili
ugaidi
ushahidi
usiombe
Kwema Wakuu!
Wote tumeshuhudia yaliyotukia.
Yanastaajabisha na hata hivyo yanadhihirisha nyufa za wazi ambazo Kama taifa tunapaswa kuzifanyia mpango tuzizibe.
Kilichotokea kinatukumbusha umuhimu wa Katiba mpya ndani ya taifa letu.
Hata hivyo mambo haya yanabidi Yatokee mara Kwa mara na yaguse...
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa.
Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.