Kikwete: Za kuambiwa changanya na za kwako!

Tushakubaliana na korona ichague mambo mawili, ama kuondoka Tanzania au kukaa hapa kwa heshima kama yalivyo magonjwa mengine tuendelee na maisha yetu na nafikiri korona inatuelewa vizuri, na ndio maana tunachapa kazi kama kawaida" -

@hpolepole

, 27 May 2020


Kwa kweli mkuu

Maana Corona iligoma kuondoka wala haikai kwa heshima nadhani haikumsikia Polepole
 
Rais mstaafu Dr Mrisho Jakaya Kikwete aliwahi kusema " Za kuambiwa changanya na za kwako"

Hii kauli inaishi katika kila jambo kwenye maisha yetu

Tunakumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!

Ni kweli mkuu lakini tuzingatie miongozi iliyotolewa na wataalamu jinsi ya kujikinga na kuzuia maambukizi dhidi ya DIPOTIVO.
 
Bwashee hamjambo hapo Machame?

Chukua tahadhari.

Hii Corona inatakiwa ipige haya majizi yote ya kura. Wapinzani wao hawana tatizo na vifo, maana wasipokufa kwa corona watauliwa na watawala wenye uchu wa madaraka.
 
Bwashee unaendelea na nyungu au vipi? Mbona mwenyekiti hajaja hata kumuaga Katibu wake mkuu hapa Ben Mkapa Hosipital Dodoma?

Labda amechukua ushauri wa mazwazwa kwetu na ameji lockdown tayari.
 
Yeye anahisi wanaomshauri ni saa mbovu. Kumbe saa mbovu ni yeye

Tatizo kubwa ni yeye pamoja na vibweka vyake kama huyu mleta mada.

Muda waluotumia kuponda miito ya kumtaka huyu bwana na serikali yake kuchakura hatua, wataujutia milele.
 
Kweli za kuambiwa changanya na zako.....mtu anasubiri aambiwe haya sasa vaa barakoa , haya sasa nawa mikono................natural selection.....
 
Rais mstaafu Dr Mrisho Jakaya Kikwete aliwahi kusema " Za kuambiwa changanya na za kwako"

Hii kauli inaishi katika kila jambo kwenye maisha yetu

Tunakumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
IMG-20210216-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom