Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570.
Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa...
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.
Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika...
Kikundi cha wanawake kilikuwa kwenye semina ya jinsi ya kuishi katika uhusiano wa upendo na waume zao. Wanawake waliulizwa, "Ni wangapi kati yenu wanampenda mumeo?" Wanawake wote waliinua mikono yao.
Ndipo wakaulizwa, "Mara ya mwisho kumwambia mumeo kuwa unampenda ni lini?" Wanawake wengine...
Hitaji la Katiba Mpya mwangwi wake unazidi kusikika kuliko wakati mwingine wowote.
Kwa nje tu hivi ni kama kila kitu kinaenda sawa lakini kuna hali fulani ya taharuki ya kimya na sintofahamu kubwa ndani yake.
Ni kama kuna mambo yanapangwa huko halafu yanaletwa upenuni bila hata kueleweshwa...
On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country.
The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial...
Pamoja na sintofahamu ya maneno hayo ninayokutana nayo lakini hii sasa inapelekea kukosa umakini wa maneno hasa Kundi na Kikundi.
Kawaida kwenye vyombo vya habari hasa DW au BBC lugha ya Kiswahili husikia wakitamka Kundi la Taliban la huko Afghanistan.
Jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili...
Habari wakuu natumaini mko poa na wazima wa afya
Niende kwenye mada husika
Kuna msemo usemao kuwa "umoja na nguvu na utengano ni udhaifu" hivyo basi mimi kama kijana Mwenye ndoto na malengo ya kujikomboa kimaisha kupitia fani ya Muziki kuna wazo limenijia la kutafuta watu ili tuweze...
Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye.
Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa...
Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa...
Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) bwana Chiki mchoma Amesema Alex Korosso maarufu kama Simba ambaye amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kumuua kijana mmoja aitwaye Gift kwa kumpiga risasi alikuwa mtunza hazina wa kikundi hicho cha Waigizaji- Tanzania kilichopo Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.