Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
2,994
6,641
On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country.

The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial capitals in about nine days. -VOA & Reuters

Makundi mbalimbali ya waasi pamoja na kikundi cha dola ya kiislamu vimefanikiwa kuteka miji mikubwa mitatu nchini Afganistan baada ya mapambano dhidi ya vikosi vya Talibani
 
Mi nilidhani ni taliban na serikali ndo vina mvutano, yaani kuna ISIS tena. Kumbe ndio maana watu walikua wanaikimbia nchi yao walijua tu kitanuka.

Sada hao ISIS na taliban si wote waislam au wametofautiana kipi tena.

Na mataifa makubwa yanaitumia hiyo nchi kwenye mambo yao, china kwenye taarifa zao wanapasifu sana na kujaribu kuisafisha taliban kwa dunia. Na marekan na washirika wake ni kinyume wao wanaichafua na kuonesha hakuna amani, na hii habari lazma umeitoa huko kwa wana USA. Mchina na mmarekani wanafki sana aisee.
 
ISIS na Taliban wote wanaimani moja ila misimamo tofauti kabisa,ISIS wana siasa kali sana kuliko Taliban.Ndo maana hata ukiangalia syria,IRAN na washirika wake wanapambana nao wasiweze ku-exist sababu ya iman yao.Hata kiongozi wa kidini anayeheshimika IRAQ-Cleric Grand Ayatollah Ali-Sistan aliwaamuru waislamu wote waungane kubeba silaha ili wapambane nao wasiwepo IRAQ.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom