VIDEO: Wamama wakikristu wakilia kwa uchungu baada ya ndugu na jamaa zao 177 kutekwa na kikundi cha itikadi kali huko kaskazini mwa nigeria

Wamerudi tena wavaa kobazi kumbe bado kuna wengine wanataka kuwahi bikra 72 akhera Trump atawarudia tena.

Magaidi wa Nigeria wameshindikana, Serikali ya Nigeria waiombe US itume JSOC waweke base hapo.
Nachojiuliza ni kwamba nigeria ambayo ni nchi ya 2 kwa uchumi afrika imeshindwa kabisa kutengeneza system ya kuwalinda wananchi wake dhidi ya wapuuzi hawa..

Uafrika ni tabu sana aisee
 
Ndio maana big show Ritz stake high wameadimika humu kumbe yupo kazi maalumu huko
Wapuuzi hao

Asili yao ni damu, wakishaonaga habari kama hizi wanafurahia sana maana wamefunzwa fujo na taharuki dhidi ya wasioamini kama wao
 
Nachojiuliza ni kwamba nigeria ambayo ni nchi ya 2 kwa uchumi afrika imeshindwa kabisa kutengeneza system ya kuwalinda wananchi wake dhidi ya wapuuzi hawa..

Uafrika ni tabu sana aisee
Nigeria ni mojawapo ya nchi zenye ufisadi mkubwa zaidi barani Africa , wanajeshi na maafisa wa serikali wanauza silaha kwa magaidi pia wanajipatia mafuta na rasilimali nyingine kutoka kwa magaidi.
Pesa za kununua vifaa vya kijeshi na kulipa askari zinapigwa sana.

Wanasiasa pia wanafadhili vikundi vya raia wenye silaha(wasiojulikana) ili kujipatia madaraka halafu mwishowe wanashindwa kuvidhibiti vinageuka kuwa magaidi.
 
💯💯💯💯
 
Halafu wapumbavu utasikia wanamlaumu Trump anapotaka kuyafuta haya mashetani.

Trump akiweza kumwondoa Ayatollah, nitaamini kuwa Trump ni mpango wa Mungu kuufuta ugaidi Duniani. Mzizi mkuu wa ugaidi Duniani ni Ayatollah wa Iran.
 
Kuna dini inapenda kusema yenyewe ni dini ya amani lakini kusema kweli ni dini ya magaidi

Dini zenye amani ya kweli kama Budha, Ukristu, Uyahudi, Ushinto, Uhindi ambazo ni za amani kweli huwezi sikia hata siku moja wakidai au kushika mabango kuwa dini zao ni za amani.
 
Zee zima huna akili .

Ukiristo mpaka kuenea unajua wamefanya mauaji na ukatili kiasi gani ? bado civil war kwa Christian between Catholic na Orthodox nk mfano Ireland .

Mauaji ya kimbali unajua kanisa limehusika kiasi gani ?

Nikiandika ukatili wa Mayahudi na Wagalatia naweza nisimalize hapa ila tunawapuuzia kwa vile mmjeaa chuki dhidi ya Uislamu mpaka mnakosa kutumia akili kuangalia ya kwenu na mnajadili vitu bila ya uadilifu .

Wakristo ni viumbe dhaifu Duniani msiojua kufikiri sawasawa ila hatutaki kupoteza muda Jf kuanika madudu yenu . Ila mna mengi ya hovyo historically and currently ila ujinga wenu ndio unasababisha msijue and other factors.

Ajabu unakuta Galatia linakazana Qur'an Ina violent verses hajui Bible yake ina violent verses pamoja na maujinga mengine mfano hayo . Cheki violence hii ,👇👇
1-Samuel-15-3(4).jpg

Mimi binafsi hapa Jf nimeamua kuwapuuza sababu ni watu msiokuwa na akili pamoja na uadilifu.

Cheki maujinga haya Maarass nyie !!👇👇
downloadfile-33.jpg
 
Zee zima huna akili .

Ukiristo mpaka kuenea unajua wamefanya mauaji na ukatili kiasi gani ? bado civil war kwa Christian between Catholic na Orthodox nk mfano Ireland .

Mauaji ya kimbali unajua kanisa limehusika kiasi gani ?

Nikiandika ukatili wa Mayahudi na Wagalatia naweza nisimalize hapa ila tunawapuuzia kwa vile mmjeaa chuki dhidi ya Uislamu mpaka mnakosa kutumia akili kuangalia ya kwenu na mnajadili vitu bila ya uadilifu .

Wakristo ni viumbe dhaifu Duniani msiojua kufikiri sawasawa ila hatutaki kupoteza muda Jf kuanika madudu yenu . Ila mna mengi ya hovyo historically and currently ila ujinga wenu ndio unasababisha msijue and other factors.

Ajabu unakuta Galatia linakazana Qur'an Ina violent verses hajui Bible yake ina violent verses pamoja na maujinga mengine mfano hayo . Cheki violence hii ,👇👇View attachment 3534380

Mimi binafsi hapa Jf nimeamua kuwapuuza sababu ni watu msiokuwa na akili pamoja na uadilifu.

Cheki maujinga haya Maarass nyie !!👇👇
View attachment 3534379
Kwa hiyo mtume muahamad mtume wa mwisho badala ya kuja kurekebisha haya akaja kuwa mkatili kuliko hao uliowaquote? Yaani the best of Allah creature anakuwa katili ?🤣🤣
 
Back
Top Bottom