Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,947
- 14,321
October 7th, 2023 mwanafunzi wa miaka 21 Joshua Mollel kutoka Tanzania aliuliwa kikatili na kikundi cha kigaidi cha Hamas
Joshua alikuwa ni mwanafunzi wa Agriculture nchini Israel, hakuwa sehemu ya vita vya Israel vs Palestine, hakuwa tishio, hakuwa adui, lakini Hamas walipomkamata walimuua kikatili bila huruma, wangeweza kumuacha aende lakini walimuua bila kupepesa macho
Kila nikiangalia hii video ya mauaji yake naumia sana. I hope hawa wote waliomfanyia hivi wameshauawa kikatili huko walipo
View: https://x.com/i/status/1884427368757874836