Kuna kikundi kinalipwa na CCM na serikali kwa jina cyber kinaitwa Farming Ghost Account.

Kuna kikundi kinalipwa na CCM na serikali kwa jina cyber kinaitwa Farming Ghost Account.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,170
Reaction score
36,222
Farmin ghost account ilianza bara za asia sana kwa wale ambao mlikuwa mfahamu ni kwamba mtu mmoja au kundi la watu wanamiliki account kama email,mitandao ya kijamii zaidi ya moja.

Mtindo huu umefanya makampuni ya mitandao ya kijamii kuanza kuzibiti mfano kama usajili wa simu sasa ila sio kote.

images (3).jpeg


Na kwa tanzania wanaofisi zao kabisa ambao account zao zipo mpaka hapa na wapo kama walinzi wa kutetea mada zao,kukupinga na sio mda hata mada hii utaona account zao zipo masaa 24 kujibu.

Wengi sana wapo Facebook, Instagram ndio idadi ya watumiaji.

Baada ya kugundulika kwa sasa account hizo wameweka mtindo wa account private na zote unakuta inapostiwa mada yenye maneno yale yale na kama ukiona post wametoa utashangaa kama aliyepost ndio anaye comment.

Ukiona account imekuja kwenye page kama unakosoa utashangaa account zinakuja zengine zikiungana.

Kifaa nacho tumia katika mambo ya cyber mara nyingi kinaonesha IP za account zinatoka sehemu moja au vituo mbali mbali ambavyo vingi vinatumia router moja.

Je tunaelekea wapi ?.
 
Back
Top Bottom