Wanaosema CCM ni kikundi cha Kigaidi wasikilizwe wana hoja

Wanaosema CCM ni kikundi cha Kigaidi wasikilizwe wana hoja

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,024
Reaction score
21,711
GT.
CCM imejaa unyama haina ubinadamu hata kidogo. Hakuna mtanzania yupo salama chini ya CCM. Ni chama kinachohatarisha maisha ya kila mtu.

CCM inatakiwa ipingwe kwa nguvu snaa kwa usalama wa Watanzania wote

1. Mdude
2.kibao.
3. Polepole
4.Mawazo
5. Ben saanane
6. Soka
7. Ndugai
8. Jenista
9. Kolimba
10. Filikujombe
11. Mauaji ya vijana maelfu MO29
12.etc etc

Na hawa hapa wazee.
FB_IMG_1765807170622.jpg
FB_IMG_1765701359991.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom