kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. MENISON

    JamiiForums Tanzania Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

    Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani, Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi. Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua. Hivi huu ni ugonjwa au?
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Njombe: Shule 28 zapewa taulo za kike. Wasimamizi wapewa onyo kuhusu ubadhilifu

    Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri ameonya na kuwatahadharisha wasimamizi wa wanafunzi watakaothubutu kuchepusha na kuingiza sokoni taulo za kike zilizokabidhiwa kwa shule 28 za sekondari Mjini Njombe kwa ajili ya matumizi ya wasichana waliopevuka. Msafiri ametoa onyo hilo leo Januari 7...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini akina Mama watoto wao wa Kike wakivunja tu Ungo hukwepa jukumu la kuwafunza na kuwasukumia mzigo shangazi?

    Japo siyo wote ila wengi wao hupenda sana kuwaachia hasa hasa Mashangazi au Mabibi kazi ya kuwapa Elimu ya ukujuaji Watoto wao wa Kike.
  4. yasini jawadu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

    Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
  5. Joo Mtangazaji

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Girtlfriend (Age around 20) Niko Dodoma

    Hello, mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27 niko Dodoma, nahitaji mchumba/girlfriend mwenye age 18 - 25 ambaye yupo serious na ana real love coz nitampenda na kumpa nafasi anayostahili. Anicheki kwa 0782 855 136.
  6. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

    Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache? "Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea. Yana ukweli?
  7. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa kike atapata tabu sana

    Yaan Heb ngoja kwanza. Niseme kwamba mimi bado nakula ujana.. sina hata mtoto wa kusingiziwa.. natarajia nifanye maamuzi ya kuwa na mtoto kuanzia mwakani labda... Haijalishi wa kiume au wa kike. Ila sasa, kwa niliyoyashuhudia leo wakati wa mchana nilitoka mara moja nikaelekea mahala fulani...
Back
Top Bottom