kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohammed Dewji afanya kikao na viongozi wa Simba.

    Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua. Kikao kimeenda vizuri. NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
  2. Massare asema SGR imechukua maeneo ya Watu, Serikali itende haki, iache dhulma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 6, leo Aprili 15, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=51y0PHIx7WU Ripoti 21 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), za ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2022/2023 zimewasilishwa bungeni. Kukabidhi ripoti hizo...
  3. Kikao cha kupokea ripoti ya maafa ya mafuriko

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Mb) wakati wa kikao maalum kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kikao hicho kiliwasilisha ripoti...
  4. Vedastus Manyinyi: Wananchi hawataki kikokotoo cha sasa, kwanini Serikali inalazimisha?

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 5, leo Aprili 8, 2024 jijini Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=RWUrwI58Nt4 Mbunge wa Musoma Mjini (CCM) Vedastus Manyinyi amesema Serikali inapaswa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu kikokotoo kwani wao wanataka wapatiwe...
  5. Bunge la 12: Serikali yasema Wakazi wa Dar watasambaziwa huduma ya mabomba ya gesi

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 3, leo Aprili 4, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=fQ35KHplqx4 NAIBU WAZIRI: SERIKALI INA MKAKATI WA KUPELEKA GESI KATIKA NYUMBA 10,000 ZA DAR DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia...
  6. R

    Leo kinafanyika kikao cha baraza la Mawaziri; unadhani wakuu wa taasisi watabaki salama au kuna pangua pangua inakuja?

    Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya. Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama? DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona...
  7. Baraza la Mawaziri wakaa kikao kujadili Miswada na Sera mbalimbali

    Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida cha tatu cha mwaka 2024. Mbali na Uchumi kimejadili na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa katika...
  8. MISA-TAN yahuzunishwa na DC wa Bariadi, Simon Simalenga kuwafukuza waandishi wa habari kwenye kikao cha ushauri cha wilaya

    Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA TAN) imeeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na tukio lilotokea mnamo February 19, 2024 la kufukuzwa kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu katika kikao cha ushauri cha wilaya ya Bariadi, kilichofanywa na Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Simon Simarenga...
  9. Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
  10. Zitto Kabwe anahutubia Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama, Februari 12, 2024

    Chama cha ACT Wazalendo kinafanya kikao chake cha kikatiba cha Halmashauri Kuu ya Chama, leo Februari 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu wa Hakainde Hichilema uliopo katika ofisi za Makao Mkuu ya Chama, Magomeni Dar es Salaam. Taarifa ya ACT imeeleza kuwa Halmashauri Kuu inafanyika kwa...
  11. Dkt. Mollel: Matumizi holela ya vidonge ya P2 ni hatari kwa afya

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza pale dawa hizo zinapotumika bila utaratibu ikiwemo mvurugiko wa hedhi. Dkt. Mollel amesema hayo leo Jijini Dodoma kwa...
  12. Kassim Majaliwa: Hadi kufikia kipindi cha Ramadhan sukari itakuwepo nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jitihada kubwa zinafanyika ili kumaliza tatizo la uhaba wa sukari lililopo nchini. "Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua nyingi ambazo maeneo yetu ya mashamba ya miwa inayozalisha sukari maji yamejaa kiasi cha kwamba wale...
  13. Jumanne Sagini: Serikali inafuatilia kwa ukaribu matukio ya utekaji yanayoendelea Jijini Dar es Salaam

    Mbunge wa Nyang’hwale, Hussein Amar ameihoji Serikali ina mpango gani wa haraka kuzuia utekaji unaoendelea katika Jiji la Dar es Salaam. Miongoni mwa matukio matano ya watu kutekwa na kutoweka katika mazingira ya kutatanisha yalitokea mwaka 2023, limo la kutekwa mfanyabiashara Mussa Mziba (37)...
  14. Dkt. Mollel: Gharama za kutibu wagonjwa wa Kisukari ni Tsh. Bilioni 300 kwa mwaka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024. https://www.youtube.com/live/SYTvPYLNpNk?si=ZxFlRBcsLo7LLqGU Gharama ya kutibu wagonjwa wa sukari kwa mwaka ni TZS bilioni 300, na gharama za kutibu wagonjwa wote wa tezi dume ni TZS bilioni 46.42, hivyo...
  15. G

    Tulioomba ajira uhamiaji tukutane hapa tuna kikao

    Inasemekana watu wanapigiwa simu awatoi majina, je kuna yeyote aliyepigiwa simu?
  16. Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  17. Kikao cha mtu tatu

    Phone ringing Don’t worry kila kitu kinaenda kuisha leo mamii. Wait, amepokea acha niongee nae. Hello brother its Alpha speaking, najua unaweza ukawa unanifahamu kwa namna moja ama nyingine. Go direct to the point (ilisikika sauti ya ukali kutoka upande wa pili wa simu). Cool down brother...
  18. TLS yadhoofika, Mahakama yahusishwa: Sungusia amezidiwa na Makada: Wanachama 3000 toka mikoani Wazagaa Dar. Kikao chapigwa stop usiku saa moja

    Walah itamuhitaji mtu wa ajabu sana kuona merit kwenye application ya wakili kada wa CCM aliyetumwa na "mfumo" kusimamisha kikao cha dharura cha mawakili. "Mfumo" umefanya mabadiliko ya Sheria ambapo kwa sasa ili wakili ateuliwe kuwa jaji , yampasa kuwa na Law firm, na hiyo /law firm iwe na...
  19. Rais Samia Aongoza Kikao Halmashauri ya CCM Taifa, Ikulu DSM Leo Novemba 29, 2023

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  20. M

    Waliohudhuria kikao cha wawekezaji UTT

    Habari za muda huu wadau, Mwezi huu November tarehe 20 kulikua na Mkutano wa wawekezaji UTT pale Mwalimu Nyerere Conference. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nlishindwa kuhudhuria Mkutano ule. Kwa niaba ya wenzangu wengine ambao nao walishindwa kuhudhuria huo. Naomben mtueleze agenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…