kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Iliki ya kijan (Green cardamom) na eneo

    Habari ya asubuhi wakuu. Naomba kujuzwa eneo ninayoweza kupata iliki na bei kwa kilo. Iliki hiyo, iwe ni ya kijani, yaani imekaushwa pasipo kupoteza rangi yake. Natanguliza shukrani.
  2. JamiiForums Tanzania Ni Psychological Effects gani anapata kijana mdogo akifanya mapenzi na mtu mzima?

    Habari. Naomba mnisaidie kunijuza kuhusu psychological effects (madhara ya kisaikolojia) anayoyapata mtoto wa kiume au wakike akiwa na tabia ya kupenda kufanya mapenzi na watu wazima. Yaani waliomzidi umri sana mfano kama utofauti wa miaka 10 na kuendelea.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza huu wimbo kutoka malawi uliorekodiwa live na mwanamziki mzee wa miaka 93 akimshirisha kijana . Lazima utaupenda tu.

    Mzuka wanajamvi! Wimbo unaitwa Linny Hoo, umeimbwa na Giddes Chalamanda akimshirikisha kijana Namandingo Bonge la songi linavuta Hisia Sana. Love Malawi!
  4. JamiiForums Tanzania Kijana wa namna hii tukimfukuza ni kosa?

    Wanajamvi napenda kuwasalimu kwa jina la jamuhuri, na niwatakieni mapumziko mema. Wakuu kuna dogo kaja Dodoma hapa yuko UDOM hapo anasoma tumempa hifadhi ghetto hapa. Ila vitabia vyake vinaenda kutushinda na tumefikiria kumtimua baada ya kumuonya sana ni hivi tuna kaofisi hapa ambako...
  5. JamiiForums Tanzania Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  6. JamiiForums Tanzania Ismaili Bayumi kijana aliyeingiza TANU Kenya 1950s

    BI. TITI MOHAMED ALIVYONIKUTANISHA NA ISMAILI BAYUMI Tuwekeni kumbukumbu kwani kumbukumbu ikihifadhiwa hukumbusha. Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana. Nimekuwa nikiitafuta picha ya marehemu Ismail Bayumi kwa miaka mingi bila mafanikio. Nataka nieleze vipi nilipata historia ya Ismaili...
  7. JamiiForums Tanzania Kijana changamkia fursa katika mradi wa bomba la mafuta

    #SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA. Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea kuitekeleza kwa maendeleo ya Taifa letu, Je! Sisi Kama Vijana ni Fursa zipi za kiuchumi tunaweza...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Habari za leo wadau. Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe; 1. MUAMINIFU, 2. mcha MUNGU 3. MKWELI na 4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi. Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku. Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

    Kuna Mtanzania kijana wa miaka 20 kapigwa risasi baada ya ajali na dogo mwingine wa miaka 19! Mmoja kafa na mwingine atanyongwa 🤔 habari mbaya sana wa Watanzania diaspora na wanajumuia wa Houston na Texas kwa ujumla. Hizi ni kati ya changamoto za kutafuta maisha =========== Mamlaka katika...
  10. JamiiForums Tanzania Dar: Kijana mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Julius Mzava (26) Mkazi wa eneo la usalama Chang’ombe Wilaya ya Temeke kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Magdalena Peter (56) kwa kumchoma kisu sehemu ya mwili wake. Tukio hili limetokea tarehe 08/10/2021...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

    Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason. Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

    Mheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, sisi wanawake tuna imani sana na wewe, tutakupa kura zetu zote za urais mwaka 2025 ila kuna mambo machafu sana yanayofanyika katika serikali yako. Sisi wanawake wa Tanzania tumesikitishwa sana na mauaji ya kijana mdogo mkazi wa kata ya Mabibo kitongoji...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa. Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
  14. JamiiForums Tanzania Kama umeoa jua kabisa mke wako anatoka kimapenzi na Ex- wake, kijana wa mtaa mmoja au mfanyakazi mwenzake)

    Kwako ndugu yangu uliye oa hao ndio maadui zako.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Sungusungu Mburahati waua kijana anayedhaniwa kuwa mwizi

    Leo majira ya mchana maeneo ya Mburahati Beach Boy wilaya ya Ubungo sungu sungu wamuua kikatili kijana mmoja mkazi wa kitongoji cha Soweto kata ya Mabibo. Kijana huyo anajulikana kwa jina la Jumanne Jongo,kwa nyakati tofauti amekuwa akijihusisha na vitendo vya kihalifu. Kijana huyu alijeruhiwa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kijana Mkenya kuwakilisha Afrika kwenye shindano la kimataifa baina ya wabunifu duniani

    Kama kawaida, Afrika tunazidi kuiwakilisha kwenye mambo makuu yanayohitaji matumizi ya ubongo. A Kenyan startup has made it to the finals in an international competition for newly established businesses, where the winner will take home Ksh11,040,000 prize money. KOA Mobile App, which offers...
  17. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kijana na dunia ya uchumi wa kidigitali, teknolojia na utandawazi

    1. UTANGULIZI; Habarini zenu wadau wote wa jamii forums, vijana wenzangu, waandaaji na wafuatiliaji wa jukwaa hili la “story of change”, Makala hii fupi ni kwa lengo la kuelimishana na kufundishana hasa vijana wenzangu Walioko katika jukwaa hili la jamii forums (story of...
  18. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo 5 yanayoweza kumfanya Kijana kutambua na kufikia ndoto/kipaji na malengo yake

    Habari za wakati huu wapendwa natumai wote ni wazma wa afya na karibuni kujifunza juu ya mambo yanayoweza kumfanya kijana aweze kutambua uwezo/kipaji na ndoto yake na kufikia malengo yake. Kijana ni nani? Kijana ni mtu wa kike au kiume mwenye umri kati ya miaka15-45 kulingana na biblia...
  19. JamiiForums Tanzania Ugunduzi: Kijana Mtanzania atengeneza mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa

    Kijana wa chuo cha DIT Amani Simba amemshangaza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert kwa uwezo wake wa kufuma mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa alipofanya ziara ya kikazi katika chuo hicho mwishoni mwa wiki hii. Kwa Maelezo ya Mkurugenzi wa Chuo hicho tawi la Mwanza Dkt...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa kijana yeyote anayetaka Kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa.

    Mpendwa rafiki yangu, Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi ni mtu sahihi kwako kama ukiingia kichwa kichwa. Watu wamekuwa ni wa kufanya maamuzi kwenye eneo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…