Sungusungu Mburahati waua kijana anayedhaniwa kuwa mwizi

Lady Mwali

Senior Member
Nov 15, 2018
147
332
Leo majira ya mchana maeneo ya Mburahati Beach Boy wilaya ya Ubungo sungu sungu wamuua kikatili kijana mmoja mkazi wa kitongoji cha Soweto kata ya Mabibo.

Kijana huyo anajulikana kwa jina la Jumanne Jongo,kwa nyakati tofauti amekuwa akijihusisha na vitendo vya kihalifu.

Kijana huyu alijeruhiwa vibaya na sungusungu kwa kukatwa na mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake huku mikono na miguu ikiwa imekatwa kabisa.

Hali hii ilipelekea kuvuja damu nyingi ,polisi walifika eneo la tukio na kumkimbiza hospitali
majeruhi kwa bahati mbaya alifia njiani akipelekwa hospitali ya Muhimbili.

cc.Kamanda wa Polisi kanda maalumu Kinondoni.
 
kuna Mwaka Mmoja ! Dogo kama huyu na Wnzake waliletaga za Kuleta kwenye Nyumba moja pale Mzambarauni! Watu wakaenda Urafiki Police wakachukuwa RB.Mama zao hawa Vibaka wanawatetea na kuwalinda mpaka na uchawi.

Watu wakapanga mikakati(waliovamiwa na kuibiwa TV toka Ujerumani walikuwa wamepitia JKT ya kuingia ukimaliza form 6.)

Wa kaseti ambushi Mwisho wa siku walipeleka maiti zao vibaka kwenye mkokoteni pale Urafiki Police.Hawa hawatakiwi Hurumiwa wana kusikilizwa .
 
Ngoja nimsaidie mleta mada

Screenshot_20210927-004359_1.jpg
 
Watoto wa mburahati ni wahuni sana wale jamaa wanaweza kukodi bus hasa kpnd cha sikukuu wakifika wanapotaka kwenda either bagamoyo au kigamboni kwenye beach huko wanaaanza kukaba yaani ni laana tupu ili wafidie hela zao za kukodi bus, na ukiachana na matukio mingne wanayofanyaga mitaani
Ila uzuri madogo hao wanafahamika vzuri sana
 
Leo majira ya mchana maeneo ya Mburahati Beach Boy wilaya ya Ubungo sungu sungu wamuua kikatili kijana mmoja mkazi wa kitongoji cha Soweto kata ya Mabibo.

Kijana huyo anajulikana kwa jina la Jumanne Jongo,kwa nyakati tofauti amekuwa akijihusisha na vitendo vya kihalifu.

Kijana huyu alijeruhiwa vibaya na sungusungu kwa kukatwa na mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake huku mikono na miguu ikiwa imekatwa kabisa.

Hali hii ilipelekea kuvuja damu nyingi ,polisi walifika eneo la tukio na kumkimbiza hospitali
majeruhi kwa bahati mbaya alifia njiani akipelekwa hospitali ya Muhimbili.

cc.Kamanda wa Polisi kanda maalumu Kinondoni.
Muhalifu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hapo awali sungusungu (combination ya wafugaji) kwa baadhi ya kanda kabla ya kupigwa marufuku walikuwa ni mahodari sana,wezi wa ng'ombe hata iwe wametokomea umbali mrefu wa kilomita zozote sungusungu walimudu kuwafikia na kuwaua wezi wote tena kwa siraha za jadi tu na kurudi na mifugo hiyo,warudipo manyumbani utasikia "tule tujamaa tulikimbia kweli kweli" nadhani WANGOSHA mnapata picha,wakati huo kiuhalisia wezi wote waliuawa.

Nadhani jeshi la polisi mnalakujifunza kupitia hawa sungusungu,na pia kwa mikoa ambayo sungusungu zilipigwa marufuku ni wakati wa kuzirejesha,polisi mmezidiwa sana. Idadi ya wezi na vibaka ni kubwa kuliko idadi ya polisi nchini,mfumo wa kila nyumba sungusungu mmoja ungemudu kupambana na wahalifu
 
Watoto wa mburahati ni wahuni sana wale jamaa wanaweza kukodi bus hasa kpnd cha sikukuu wakifika wanapotaka kwenda either bagamoyo au kigamboni kwenye beach huko wanaaanza kukaba yaani ni laana tupu ili wafidie hela zao za kukodi bus, na ukiachana na matukio mingne wanayofanyaga mitaani
Ila uzuri madogo hao wanafahamika vzuri sana
Wajinga sana! alafu wanapotaka fanya uhalifu wanakunywa pombe.Hivyo ujeruhi watu vibaya na kufanya matukio maovu sana.Kutokana na Ulevi walio nao.
 
Leo majira ya mchana maeneo ya Mburahati Beach Boy wilaya ya Ubungo sungu sungu wamuua kikatili kijana mmoja mkazi wa kitongoji cha Soweto kata ya Mabibo.

Kijana huyo anajulikana kwa jina la Jumanne Jongo,kwa nyakati tofauti amekuwa akijihusisha na vitendo vya kihalifu.

Kijana huyu alijeruhiwa vibaya na sungusungu kwa kukatwa na mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake huku mikono na miguu ikiwa imekatwa kabisa.

Hali hii ilipelekea kuvuja damu nyingi ,polisi walifika eneo la tukio na kumkimbiza hospitali
majeruhi kwa bahati mbaya alifia njiani akipelekwa hospitali ya Muhimbili.

cc.Kamanda wa Polisi kanda maalumu Kinondoni.
nikadhani mburahati kwetu..GUINEA AREA.
 
Back
Top Bottom