kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Kijana mwenzangu wa Kitanzania jibiidishe katika kutafuta maarifa mwenyewe usisubiri kutafutiwa

    Shikamoni wakubwa na wadogo zangu habarini za mda huu. Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu kuwa "kijana mwenzangu wa kitanzania usisubiri kutafutiwa maarifa zaidi bila mwenyewe kuweka bidii katika kuongeza maarifa". Kwanza kabisa nataka kuongea na vijana ambao wamebahatika kusoma kozi za...
  2. JamiiForums Tanzania UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

    Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing. Though, approach nlioona inatumika na wengi ni tofauti kabisa na ile ambayo nimekuwa nikitumia hivyo naona ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

    Kwema Wakuu! Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu. Vijana tunapoambiwa tule na tunywe Kwa nidhamu sio Kwa sababu tunaonewa wivu au kuna mtu anataka kuwa juu yetu Kwa kutupa amri...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya sasa haimkomboi kijana wa Kitanzania

    Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo mpaka sasa elimu yake kwa kiasi kikubwa ni ya kinadharia. Tangu shule ya awali na ya msingi, mwanafunzi hupimwa zaidi uwezo wake wa kuelewa masomo husika kwa nadharia zaidi na sii kwa vitendo, ambapo akimaliza darasa la saba, na hata kidato cha nne, hawezi...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu soma usomavyo ila kaa ukijua mjini koneksheni

    Kila mwaka maelfu ya vijana wanahitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali ila changamoto imekuwa kwenye kupata ajira. Mfumo wa nchi hii kama hauna mtu yeyote wakukuunganisha na sekta yeyote aiseeeh utasota sana kupata ajira hata kama utakuwa na vigezo kupita wengine. Nina kaushuhuda kangu haka...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Kijana na Uwajibikaji

    Ngoja nikwambie kitu kuhusu kijana wa leo wa kitanzania. Vijana hatulali, vijana tunawajibika kufikia malengo yetu; Kila kijana ana ile ndoto kubwa anayoitamani kuifikia, na katika harakati za kuifikia ndoto hiyo kijana hukumbana na changamoto nyingi sana, Sitozisema hapa, sababu kila kijana...
  7. JamiiForums Tanzania Namanage Account za Forex

    Habari Wana jamii forums Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa. Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Mapinduzi ya Tatu ya Internet (Web 3) na Fursa Zake kwa Kijana wa KiTanzania

    Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia kujiburudisha kwa kucheza michezo mbali mbali inayopatikana mitandaoni maarufu kama games. Lakini je...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe, kumpenda kijana wako, isiwe fimbo ya kunichapia

    Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake??? Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mwalimu amemsujudu huyu kijana kuliko anavyomsujudu Mungu wake

    Huyu dogo badae utasikia anapewa Ukuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa, au Kamanda wa Polisi kisha IGP, unajua hii nchi ina us****** mwingi sana sijui tutakomeshaje haya mambo. Huyu Mwl nina uhakika hata Mungu hamsujudiii hivi kama alivyosujudu hapa INATIA HASIRA SANA
  11. JamiiForums Tanzania Kulingana na itifaki ya sensa nawaza Je hili linasemaje maana kukaa bila ajira kwa kijana ni kulemaza uwezo wa kufikiri....

    Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia...
  12. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kijana aandaa kaburi lake baada ya kukiuka masharti ya Mganga

    Mfanyabiashara Kijana wa Nakonde nchini Zambia mwenye umri wa miaka 29 ameanza kuandaa kaburi lake baada ya kuambiwa na Mganga wake wa Sumbawanga kuwa atakufa hivi karibuni kwa kukiuka masharti ya utajiri wake. Grigory Siame ambaye alikuwa maskini sana hadi alipoenda kuonana na mganga miaka 8...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kasumba kikwazo katika maendeleo ya Kijana

    Na Betuel John Katika ulimwengu wa sasa mafanikio ya watu wengi maarufu na mashuhuri yamekuwa yakiwavutia sana watu wengi hasa vijana ambao kwa kiasi kikubwa ndio wanaohangaikia ndoto zao za kuwa na maisha mazuri na mafanikio. Katika kuhangaikia ndoto hii vijana wengi wamejikuta wakisahau...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

    Mungu wasamehe wanawake wote kiukweli sio akili zao…..wanateswa na mapepo makali sana
  15. JamiiForums Tanzania Hivi nikimtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa hereni awe mke wangu nitakuwa nimetenda kosa?

    Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke Mwanaume anavaa pensi fupi . Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Isaac Mnurwa akamatwa kwa tuhuma za kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg

    Inadaiwa kuwa kijana Isaac Mnurwa amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma zinazodaiwa ni kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg. Tunaomba kufahamu ukweli wa taarifa hii.
  17. JamiiForums Tanzania Baba alivyookoa ndoa ya kijana wake

    Iko hivi, katika familia moja yenye mabinti watatu na kijana mmoja wa pekee wa kiume siku moja paliingia tafrani. Kijana wa familia alipofikia umri wa kuoa wazazi na dada zake walihakikisha kijana mpendwa wao anapata mke wa ndoto zake lakini jukumu la kumtafuta mke mwenyewe likawa la muoaji...
  18. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Kijana apigwa risasi hifadhini, Familia yadai ushahidi unapotezwa

    Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu. Familia ya mtoto...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mwanasiasa kijana yalivyompa uchizi mwanaharakati wa Twitter

    Hakuna anaemtumia huyu dada Maria zaidi ya Maria na tabia zake na ushangingi wake mwenyewe na tumbo lake. Maria alikuwa hawara kwa mwanasiasa fulani akahaidiwa ndoa halafu dakika ya mwisho akatoswa na kuolewa Mwanamke mwingine. Kichaa kilianza hapo. Wazee wa Slip way mnakumbuka enzi zile...
  20. JamiiForums Tanzania Leo nakupa chimbo wewe kijana uliyechapwa na maisha. Nenda sehemu hii utakuja kufanikiwa

    Habari ndugu zangu! Lengo la Uzi huu si kujisifu, na wala hauna maudhui ya kukashifu harakati za vijana. Usiangalie lugha iliyotumika. Umeomba kazi mara nyingi umekosa? Umezunguka mahali pengi nchini kufanya ujasiriamali bila mafanikio? Umekosa elimu ya kukuwezesha kuingia kwenye soko la ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…