Kijana mtaalam wa mambo ya chips na kuku anahitajika

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma, lemon, sekela, na Aina zingine za kuku,

Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri,

Na kuandaa Yale makorombwezo masalad, makachumbari, ma ukwaju pilipili and mambo kama hayo

Mtu mwenye rafiki au ndugu au kama yy mwenyewe ni mhusika na anasoma ujumbe huu na anaweza kufanya hii kazi please nidm

Eneo la biashara ni kigamboni
 
Tatizo niko mbali mkuu ila ndo mambo yangu hayoo
 
Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma, lemon, sekela, na Aina zingine za kuku,

Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri,

Na kuandaa Yale makorombwezo masalad, makachumbari, ma ukwaju pilipili and mambo kama hayo

Mtu mwenye rafiki au ndugu au kama yy mwenyewe ni mhusika na anasoma ujumbe huu na anaweza kufanya hii kazi please nidm

Eneo la biashara ni kigamboni
Mshahara na muda wa kazi weka wazi apa tujitose
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom