Kijana 26 years natafuta kazi yeyote halali

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa.

Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo nikajiunga na advance kwa tahasusi ya pcb hapo sikufanya vizuri kwani nilipata division three point 14 ambayo haikuniwezesha kupata chuo kwa degree, niliomba diploma nikapata lakini nilisoma mwaka mmoja tu nikakimbia kwa sababu za ugumu wa maisha, just imagine nilikuwa nikipewa shilling 40 ya matumizi kwa mwezi mzima na mzazi wangu, hakukuwa na namna yeyote ya kuniongezea maana ni dhahiri uwezo wake kifedha uliishia hapo.

Hivyo niliingia mtaani nikapata vikazi vya hapa na pale kwa kipindi nikafanikiwa kukusanya pesa kiasi cha tsh laki tano ambapo niliweza fungua video liblary mtaani kwangu nimefanya hio biadhara kwa mwaka na.Nusu mpaka tamati ilipofika baada ya kuibiwa vitu vyangu oficin. Nimekosa muhimili wala connections za kupata kazi tena.

Naomba kazi yeyote,mahala popote. Mimi ni mzuri wa kazi za nguvu kama kulima,kubeba mizigo lakini kwa kazi zisizotumia nguvu naweza sana matumizi ya computer. Mambo ya microsoft packages na software maintainance including windows installation. Nipo tayali kujifunza kazi yeyote kwa maelekezo kiasi hata uvuvi piah naweza.

Nambari zangu za simu ni 0748106950

Karibuni kwa msaada wenu
 
Pole sana .
Ila ikiwa unaweza kazi za mikono na unasema uko Songwe mbona kazi za mikono zipo haya maeneo karibia na ulipo vipi Chunya migodini haujaenda ?

Vipi Isuto mbona watu wanahitaji vibarua ? Je Ilembo huko kote kazi za mkono zinalipa ila yote kwa hayo, Vipi haujawaza kusogea Tunduma ukapige kazi kwa madalali ?

Vipi hapo kwenye kiwanda cha Kahawa , Mlowo mbona kazi zipo ?

Pita huko hautakosa kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom