kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako. Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi. Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda. Kwasababu upo...
  2. Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Hello! Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni. Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali. Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa. Unaweza kufungua duka, ukalima...
  3. Je, kwa kisa hiki kijana alipaswa kumwambia mchumba wake kabla ya kumuoa kuwa ana mahusiano mengine?

    Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata hivyo haikuwa rahisi ikabidi azame kwa Jimama mwenye pesa. Aliishi na huyu Jimama zaidi ya miaka 10...
  4. F

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  5. Ni dhahiri kuwa Binti alikuwa anakutanishwa na Baba mzazi kwa kificho

    Kuna uzi unasema kuwa Baba wa kambo kalea binti mpaka kawa mtu mzima lakini Binti alipotaka kuolewa mahari akasema apewe Baba yake mzazi na sio wa kufikia. Uzi wenyewe huu hapa Tumsaidie huyu kimawazo Ngoja niwaambie kitu ambacho hamkijui, Ukioa Mwanamke mwenye mtoto kuna asilimia 90% kuwa...
  6. Mbowe kijana wa CCM kwa kivuli cha upinzani

    CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema. Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na...
  7. Natafuta kijana wa kuchoma nyama

    Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu ! Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka mbeleni. Akiwa mkazi wa wilaya ya Kinondoni itapendeza. Kazi ni jioni tu kuanzia saa 11 hadi saa 3...
  8. Naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka shule binafsi kwenda serikalini

    Habari! Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa anamsomesha mambo hayako vizuri ameona amhamishie Saranga Sec (govt school). Kijana analelewa na Bibi...
  9. Kama kijana mtafutaji ni muhimu kujiunga na jumuiya mahali unapoishi

    KAMA KIJANA MTAFUTAJI NI MUHIMU KUJIUNGA NA JUMUIYA MAHALI UNAPOISHI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umeenda mbali na nyumbani, ni aidha kutafuta maisha au umepelekwa na serikali. Moja ya mambo muhimu kabisa ya kufuata ni pamoja na kujiunga na jumuiya za kijamii. Kama ni mkristo nenda...
  10. B

    PreGE2025 Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  11. E

    Ni sababu zipi hasa zilipelekea video ya huyu kijana kutolewa mitandaoni?

    Nimetafuta kwa muda mrefu sana video ya huyu kijana wa Ngowi sijaipata ,binafsi kuna vitu nlitaka nisikilize tena Ilikuwepo katika Uzi huu Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa Kuna anaejua kwanini ilitolewa? Je ilikuwa inapotosha...
  12. Kijana wa miaka 12 agonga bodaboda

    Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya. Bodaboda hakuwa na hili wala lile mpaka pale aliposhangaa kijana kaingia kwenye njia yake huku...
  13. Picha: Kijana wa BBT akiwa amempigia Magoti Waziri wa Kilimo

  14. D

    Naomba connection au ushauri wa mchongo wa kufanya baada ya saa za kazi

    Wakuu bila shaka mu wazima wa afya. Baada ya hustle za hapa na pale, kuandika nyuzi kadhaa humu na reply kedekede nikitafuta kazi hatimae nilipata, japo sio kutoka humu ni connection tu ya jamaa yangu niliesoma nae. Hii kazi nina miezi nayo 4 mpaka sasa, mshahara wake kiukweli sio mkubwa hasa...
  15. Kwenye yale maombi ya Nabii kulikuwa na kijana mwenye tatizo la kupiga puli

    Wakati fulani nilienda South Africa kwenye madeal binafsi na kiofisi. Kule nilipata wasaa wa kuhudhuria ibada ya nabii mmoja anayetokea Tanzania akifanya huduma zake Afrika Kusini. Siku hiyo ilikuwa ibada ya wahitaji toka nchi mbalimbali za kigeni. Walikuwepo watu kutoka Zambia, Ghana, Africa...
  16. Naweza nikatrack mawasiliano ya simu ambayo nimeongea nayo juzi? Kijana kakimbia na pikipiki yangu toka juzi, hivi sasa hapatikani.

    Habari viongozi? Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda. Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti. Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
  17. R

    Kijana mkazi wa Dar es Salaam anatafuta bajaji ya mkataba

    Bwana mdogo anatafuta bajaji ya mkataba. Ni mkazi wa Dar. Nimefikisha hitaji lake Jamiiforums kama platform sahihi. Wasifu wake: Ameshawahi kuchukua bajaji za mkataba 2 na kufanikisha kumaliza kikamilifu mkataba. Licha ya kutafuta bajaji ya mkataba ana biashara nyingine pembeni. Karibuni wadau.
  18. Kumbe kutembea na Kondomu ndio kuwa kijana wa kisasa?

    Hii post ya East Africa Radio imenishangaza sana, UZINZI UNAENEZWA KWA KILA NJIA SIKU HIZI.
  19. K

    Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake. Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa...
  20. Namuonea huruma binti yangu, sijui ataolewa na kijana wa aina gani

    Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa, 1. Wabahili 2. Wanapenda mtelemko 3. Wanalishana ujinga sana 4. Hawana hofu ya Mungu Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible? Vidume vya zamani vinaenda porini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…