Natafuta kijana wa kuchoma nyama

Mar 15, 2019
36
97
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu !

Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka mbeleni. Akiwa mkazi wa wilaya ya Kinondoni itapendeza.

Kazi ni jioni tu kuanzia saa 11 hadi saa 3 (Mchana anaweza kufanya mishe zake )

Aliye tayari anicheki WhatsApp 0683535699
 
NYAMA YA AINA GANI MKUU.... ng'ombe, kuku, mbuzi , Usikute ni ile mishikaki ya 100 mia?
 
π–­π—€π—ˆπ—ƒπ–Ί π—π–Ίπ—π–Ίπ—„π—Žπ—ƒπ–Ί π—†π—Žπ–½π–Ί π—Œπ—‚π—ˆ π—†π—‹π–Ύπ–Ώπ—Ž
 
Hapo kwel kazi ipo?

Amekuandikia kabisa mwenye uwezo wa kuchoma kuku

Lakini bado tu unauliza nyama gan hivi ni kwel?
USIKURUPUKE KAMA KUKU ALIYEKATWA SHINGO, MARA YA KWANZA WAKATI ANAANDIKA POST ALIWA HAJAAAINISHA NI NYAMA YA AINA GANI, NDIO IKABIDI AFANYE EDITING
 
Back
Top Bottom