Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao sikutarajia.
Kwa kawaida, simu yangu ilikuwa kama kiungo changu kati yangu na ulimwengu wa mitandao ya...
Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nafasi kubwa ya maendeleo. Ili kufikia maendeleo endelevu na kujenga jamii yenye ustawi, ni muhimu kuanzisha miradi bunifu itakayowezesha...
Kiuchumi;
Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama
C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana watu sasa hivi wamepata pa kufanya kazi na kupata kipato cha kila siku. Marginal propensity to consume...
Salaam, Shalom!!
Salamu hapo juu itoshe kukujulisha kuwa walengwa wa HOJA hapo juu ni Wana wa Mungu, ni wale ambao wanahangaika,wanafanya KAZI Kwa bidii, wanajitenga na UOVU, walipao ZAKA nk nk, lakini Bado malengo Yao hayafanikiwi Kwa hatua za kuridhisha.
Neno la Mungu lasema katika
( Yakobo...
**Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya
Utangulizi
Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
Kama unahitaji huduma zifuatazo nichek 0747787410 kufungua akaunt za biashara mtandaoni, kufanya matangazo mitandaoni, kurekebsha akaunt zenye matatizo na madeni, kusajil jina la biashara, lesen ya biashara na kupata vibali mbalimbali serikalin kama vile TBS, OSHA nk.
UTANGULIZI
Tanzania mitandao ya kijamii bado inatumika kama sehemu ya watu kutoa mawazo(stress), kupata habari nyepesi na udaku. Bado mitandao haijawa mahali salama sana kwa kizazi cha sasa na cha baadae kama hatutatengeneza mazingira salama kwa ajili ya wakati ujao. Bado haiaminiki, ina kundi...
JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA)
UTANGULIZI.
Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii zinazohusu matukio mbalimbali ambayo yapo kinyume na sheria kitu kinachopelekea watu wengi kufanyiwa...
Habari Wana JF,
Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni.
Ahsanteni 🙏
"Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mambo Yao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.
Kundi la waendesha pikipiki huko jimbo la Arizona Marekani liitwalo 'Bikers Against Child Abuse' ambalo huwaweka salama wahathiliwa wa unyanyasaji hasa watoto, ikiwa ni pamoja na kulinda nyumba zao usiku ikiwa mnyanyasaji hayupo gerezani.
Pia hawa jamaa huhudhuria mahakamani kushuhudia na...
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani, mathalani Facebook, X, Instagram, JF nakadhalika?
na unatumia sana platform hiyo na data kubwa sana kwa...
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike zaidi.
sikumbuki vizuri kilichotokea lakini fastjet waliondoka akabaki air Tanzania peke yake kama...
Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌
Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22.
Kuna jamaa...
Siku za hivi karibuni mastaa na watu maarufu Nchini Tanzania wameonekana wakitangaza mtandao mpya wa kijamii unaoitwa "Be from BetaTQ", akiwemo mtangazaji wa burudani za michezo, Shafii Dauda na Mwanasiasa, Mwanaharakati na mtayarishaji wa vitabu Yericko Nyerere wameonekana wakishawishi wafuasi...
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga, Jennifer Dickson akifurahia tuzo ya Malkia wa Nguvu ajaye katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
------
Nyota ya Mwanafunzi wa Kike wa kitanzania Jennifer Dickson na mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga anayesoma elimu ya...
Naomba kuwataka watu au Raia wa Facebook kuweka umakini na (links) zenye maudhui ya ngono, kwani viungo (links) hizo zimepelekea wengi kupoteza Umiliki wa account Zao huku zikionekana kuchapisha video za ngono.
Hatua hiyo tunaweza kusema “Utakua sio wewe umesambaza link za ngono Lakini...
Huduma za Kijamii zimefungamanishwa na Haki Msingi za Binadamu kwa mujibu wa Kifungu cha 21(2) cha Azimio la Kimataifa la Haki Za Binadamu kinachosema 'Kila Mtu ana Haki ya kupata Huduma za Kijamii katika Nchi yake'
Aina fulani za Rushwa katika utoaji wa Huduma za Kijamii (kama kuleta Siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.