kijamii

Chama Cha Kijamii (CCK) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Account gani ya ajabuajabu ya mitandao ya kijamii unaifuatilia?

    Iwe facebook, instagram, twitte nk. Ni account gani unaona hii kwa kweli ni ya ajabu na unaifuatilia. Mi kuna hii ya instagram watu toka sehemu mbalimbali duniani wanapost fimbo🤣 officialstickreviews. https://www.instagram.com/p/DDkCR8JOxwG/?img_index=1&igsh=eXF0ZmcwbmJiN294
  2. Burure

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mitandao ya kijamii kwa viongozi wetu

    Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii Sambamba na kikao cha kamati kuu ya CHADEMA tumeona Makamu wa Mwenyekiti wao Lissu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lugha za baadhi ya madalali wa nyumba mitandaoni hazina maadili na huweza kuleta athari kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta sherehe za Uhuru, aagiza fedha zitumike kusaidia huduma za kijamii

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  6. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

    Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yafunga Mitandao ya Kijamii Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Kisiwa cha Mauritius imezuia upatikanaji wa Mitandao ya Kijamii kuanzia leo Ijumaa, Novemba mosi hadi Novemba 11, 2024 Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu Taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya EMTEL, imesema iliamriwa Alhamisi usiku na Mamlaka ya Teknolojia ya Habari na...
  9. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Kituo cha Polisi na Polisi kuwa Chombo cha Usuluhishi wa migogoro ya kijamii?

    Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
  10. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Meme nyingi kwenye Mitandao ya Kijamii zinaandikwa na watu wasiojitambua kimaisha

    Mhadhara - 45: Asilimia kubwa ya MEME zinazosambaa kwenye MITANDAO YA KIJAMII na kupostiwa na watu kwenye STATUS UPDATES zinaandikwa na watu (vijana) wenye fikra finyu na wasiojitambua. Unapaswa kufahamu kwamba hakuna changamoto yoyote inayotatuliwa kwa kutumia MEME. Kila changamoto...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unataka kuwa na mvuto kijamii, kisiasa au kiuchumi ili upate pesa au mafanikio? Fanya mambo haya kisha njoo unishukuru

    UNÀTAKA KUWA NA MVUTO KIJAMII, KISIASA AU KIUCHUMI ILI UPATE PESA AU MAFANIKIO? FANYA MAMBO HAYA KISHA NJOO UNISHUKURU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli MVUTO, mvutano. Kani au nguvu ya Uvutano. Maisha ni Ñguvu ya Uvutano, MVUTO. Kûna Aina Mbili za Uvutano (MVUTO) 1. MVUTO HASI 2. MVUTO...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ninapitia mitandao ya kijamii hasa mtandao X naona Waarabu wanamaadui Kila pembe ya Dunia. Sababu kubwa ni ipi?

    Aiseeh! Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima. Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika. Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
  13. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu tabia za wanaume washindao katika mitandao ya kijamii

    Men will like everything you post until he becomes your man, now he can't see🥲🤡😂
  14. tustary software develope

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupambana na udukuzi wa accounts za Mitandao ya Kijamii

    Kupambana na wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kunahitaji tahadhari na mbinu za kiusalama. Hapa kuna njia za kuimarisha usalama wa akaunti zako: 1. Tumia nywila imara: Hakikisha nywila yako ni ndefu, ngumu na inachanganya herufi kubwa, ndogo, namba, na alama maalum. Epuka kutumia maneno...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

    Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Demokrasia isikiuke maadili ya kijamii

    Wakenya wanastahili pongezi kwa hatua waliyofikia katika demokrasia. Lakini kama demokrasia ikiwa inakiuka maadiki ya Jamii husika, inakuwa ni ya hasara badala ya faida. Nionavyo, kwa sababu ya uhuru wa kujieleza, baadhi ya Wakenya, hasa vijana, wanatumia hiyo fursa kufanya mambo ambayo ni ya...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya mitandao ya kijamii yanatafutiwa dawa kama hayatazuia uzushi mitandaoni

    Umoja wa Ulaya unafikiria kuyabana makampuni yanayotoa huduma za mitandao ya kijamii kutafuta namna ya kuwabana watumiaji wanoitumia kueneza habari za uzushi na uvumi unao hatarisha usalama wa jamii. Many social media companies have invested heavily in content moderation over the years. But the...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini matumizi ya kondomu na matangazo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii yamepungua mno?

    Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani. Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia...
  20. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania TCRA yafuta akaunti yake ndani ya X/Twitter. Je, ni maandalizi ya kuifungia mtandao huo wa kijamii?

    Japo hatua hiyo inaweza kuwa imetokana na sababu nyingine, ukweli kwamba imetokea katika kipindi hiki cha vuguvugu kubwa kuishinikiza serikali iifungie X/Twitter unweza kuyumkinisha kuwa hizi ni dalili za awali za mtandao huo wa kijamii kufungiwa. Hata hivyo, wakati viongozi mbalimbali wakuu wa...
Back
Top Bottom