Tahadhari: Kuwekuwa na wimbi za link za video za Ngono Facebook, ukibonyeza tu video zinapakuliwa kupitia ukurasa wako

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
Naomba kuwataka watu au Raia wa Facebook kuweka umakini na (links) zenye maudhui ya ngono, kwani viungo (links) hizo zimepelekea wengi kupoteza Umiliki wa account Zao huku zikionekana kuchapisha video za ngono.

Hatua hiyo tunaweza kusema “Utakua sio wewe umesambaza link za ngono Lakini tutajua dhumuni lako ilikuwa kuona video za ngono.

Hili suala la siku hizi la akaunti yako kuonekana imesambaza picha za utupu, ni kwamba uliona link ya video hiyo, kwa njaa na kiu ya kutaka kuiangilia, ukabonyeza link uone yaliyomo, hapo ndo unapelekwa kwenye tovuti nyingine inayofanana na Facebook, ila sio Facebook, na automatocally video inasambazwa kupitia akaunti yako, bila kuwa kwenye profaili yako.

Tukiona imesambazwa, tutajua sio wewe, ila tutajua uliclick link.

Hizi kitu zinatia aibu sana, ikiwa wewe unafuatilia pornografia kwa siri download kwa siri, angalia kwa siri, na uvute kwa siri.

Hiyo kiu ukija nayo huku na presha ya kubonyeza viambatanisho ovyo, yatakufika hapa, utaaibika.

Nazungumzia ili suala la siku hizi, ni tofauti sana na lile la kudukuliwa na kuibiwa akaunti yako.

Hili ni kiu ya kuona video Chafu, Presha ya ku click.
 
Naomba kuwataka watu au Raia wa Facebook kuweka umakini na viungo (links) zenye maudhui ya ngono, kwani viungo (links) hizo zimepelekea wengi kupoteza Umiliki wa account Zao huku zikionekana kuchapisha video za ngono.

Hatua hiyo ameweza kuiita “Atakua sio wewe umesambaza (viungo) link za ngono Lakini tutajuwa zumuni Yako ilikuwa Kuona video za ngono.

Hili suala la siku hizi la akaunti yako kuonekana imesambaza picha za utupu, ni kwamba uliona link ya video hiyo, kwa njaa na kiu ya kutaka kuiangilia, ukabonyeza link uone yaliyomo, hapo ndo unapelekwa kwenye tovuti nyingine inayofanana Facebook, ila sio Facebook, na automatocally video inasambazwa kupitia akaunti yako, bila kuwa kwenye profaili yako.

Tukiona imesambazwa, tutajua sio wewe, ila tutajua uliclick link.

Hizi kitu zinatia aibu sana, ikiwa wewe unafuatilia pornografia kwa siri download kwa siri, angalia kwa siri, na uvute kwa siri.

Hiyo kiu ukija nayo huku na presha ya kubonyeza viambatanisho ovyo, yatakufika hapa, utaaibika.

Nazungumzia ili suala la siku hizi, ni tofauti sana na lile la kudukuliwa na kuibiwa akaunti yako.

Hili ni kiu ya kuona video Chafu, Presha ya ku click.
Nimelazimika ku delete account ya Facebook sababu ya upuuzi kama huo
 
Kuhusu Video za ngono Facebook..!

kama ulivyosema kuwa kumekuwa na muendelezo wa watu kuwa tagged au kujikuta wanaonekana wametuma video chafu kwenye mtandao wa Facebook kwa siku za karibuni.

Shukrani sana Maonobinafsi kwa kuleta Awareness ya jinsi swala hili linavyotokea

Sasa ili kuepuka kuwa tagged kwa video au picha chafu, au kuonekana umepost Picha hizo fanya yafuatayo:

Ingia kwenye Settings ya Facebook Account yako kisha nenda Audience and Visibility halafu nenda Profle and Tagging.

Ukishafika hapo Profile and Tagging utakuta kuna machaguo mawili la kwanza linahusu Viewing and Sharing. Kwenye "Who can post on your profile"
chagua "Only Me" vivyo hivyo kwenye
'Who can see what others post on your profile" chagua 'Only Me,'

Pia, kwenye Tagging lile chaguo la kwanza lililoandikwa, "Who can see posts
you're tagged in on your profile"chagua "Only Me"

Aidha, pale kwenye option ya "When you're tagged in a post, who do you want to add to the audience of the post if they can't already see it" hapo
chagua "only Me."

Shukrani sana
 
Duuhh nami nilishangaa watu wangu wengine sikutegea wangeweka hizo link kumbe hata sijawahi kigusa mpaka wakanitaka ni exist
 
Kuhusu Video za ngono Facebook..!

kama ulivyosema kuwa kumekuwa na muendelezo wa watu kuwa tagged au kujikuta wanaonekana wametuma video chafu kwenye mtandao wa Facebook kwa siku za karibuni.

Shukrani sana Maonobinafsi kwa kupeta Awareness ya jinsi swala hili linavyotokea

Sasa ili kuepuka kuwa tagged kwa video au picha chafu, au kuonekana umepost Picha hizo fanya yafuatayo:

Ingia kwenye Settings ya Facebook Account yako kisha nenda Audience and Visibility halafu nenda Profle and Tagging.

Ukishafika hapo Profile and Tagging utakuta kuna machaguo mawili la kwanza linahusu Viewing and Sharing. Kwenye "Who can post on your profile"
chagua "Only Me" vivyo hivyo kwenye
'Who can see what others post on your profile" chagua 'Only Me,'

Pia, kwenye Tagging lile chaguo la kwanza lililoandikwa, "Who can see posts
you're tagged in on your profile"chagua "Only Me"

Aidha, pale kwenye option ya "When you're tagged in a post, who do you want to add to the audience of the post if they can't already see it" hapo
chagua "only Me."

Shukrani sana
Ujumbe mzuri 👏
 
Yaani tatizo si kutazama video za ngono, tatizo ni kutazama video za ngono na watu kujua kuwa umezitazama.
Kabisa Mm link niliifungua ila waripoleta option ya kuingiza password na namba za simu roho ikasita nikaacha. ikabidi nitumie accout nyingine fake nione itatokea nin ile naweka tu tayri nakuta imejipost
 
Back
Top Bottom