kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tulivyo Busy Kutafuta Majina Magumu Ya Kiingereza au Kiarabu Kuwapa Wana Wetu Ni Wazi Maungoni Bado Ni Watumwa!

    Katika jamii nyingi za Kiafrika leo hii, kumekuwa na mtindo unaokua kwa kasi wa wazazi kuwapa watoto wao majina ya Kiarabu au Kiingereza, wakiyaona kuwa ni ya kisasa, ya heshima au ya hadhi kubwa. Kile kilicho kizuri na cha heshima kwao sasa kinapimwa kwa jinsi kinavyokaribia "ule ulimwengu wa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Taja hizo namba 27,000 na 2,007 kwa maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza

    27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia wale ambao huwa Mnafiwa tafadhali mkiwa mnahojiwa acheni kuchanganya Kiingereza na Kiswahili kwani Mnaboa japo mnadhani ni Sifa

    Sasa kama mnajua Kuzungumza Kiingereza kwani huwa hamkizungumzi moja kwa moja badala yake mkikwama katika Mahojiano yenu huwa mnarejea katika kuzungumza Lugha ya Kiswahili ambayo naamini ndiyo mnaimudu zaidi na ingeweza kuwafanya mkaeleweka vyema na Waombolezaji kuliko hicho Kiingereza ambacho...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

    Hellow! Hili limesababishwa na Nini? Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka, Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii? Karibuni 🙏
  5. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha Msomi wa Afrika ni Kiingereza

    Huku Afrika hata kama unaweza kuzungumza lugha ya kabila lako na lugha 10 za mataifa mbalimbali isipokuwa Kiingereza, Utachekwa. Hata kama unazungumza vizuri Kiswahili, Kihindi, Kiarabu, Kichina, Kithailand, n.k - lakini ukishindwa kuzungumza Kiingereza nchi nzima watakucheka. Watakucheka...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uingereza yapata meya wa kwanza huko Brighton asiyejua Kiingereza!

    Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Reconciliation, Resilience, reform , Rebuilding ni maneno ya kiingereza yanatakiwa kufuatwa na mstaarabu Yeyote

    Reform=mabadiliko Resilience=ustahimilivu Reconciliation=kuridhiana Rebuilding=kujenga Upya Sasa kumetokea kambi moja inayotumia maneno hayo kama vile ni maneno au tabia yao na wengine wanapata fadhila kwa kupewa maneno hayo. Suala jingine ambalo ni muhimu kuliko kuyatamka maneno hayo ni...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kugombana na watangazaji wa mpira, badili kwa kiingereza utanishukuru

    Nimeona kuna mjadala mkali unaendelea mitandaoni kuhusiana na baadhi ya mashabiki wa Simba kuamini kuwa Simba haipati matokeo mazuri pale mechi zake zinapotangazwa na mtangazaji wa Azam TV, Gharib Mzinga. Binafsi, mimi siwakubali hawa watangazaji woote. Kwanza wote wana chembechembe za uto na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Taja maneno ambayo yanatumiwa sana na watu wasiojua lugha ya kiingereza vizuri

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye elimu
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wakitaka kuungwa mkono na watanzania wote waache kutumia kiingereza katika kaulimbiu zao

    Hizi kaulimbiu/slogans zinazotolewa kwa English zinawafanya watanzania wawaone viongozi wa CHADEMA kama watu fulani wanaojifanya wasomi na waelewa wa mambo kuliko wananchi wa kawaida. Ikumbukwe watanza wanawaogopa watu wanaongeza sana kiingereza kwa mfano jamaa zangu wawili walibadili dini...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

    1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha? 2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa...
  13. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  14. James M Kiingereza HkH

    JamiiForums Tanzania Kiingereza HkH now available in printed form

    Very happy to post this information regarding the Kiingereza HkH English course, which is now available in printed form too. Don't forget the app, which includes a number of books, can still be downloaded for free from the Google PlayStore, too. It has recently passed 100,000 downloads. 14...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Walimu Hisabati na kiingereza wapewa mafunzo Dodoma

    Katibu Tawala Msaidizi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mkoani Dodoma, Vincent B. Kayombo, amefungua mafunzo ya siku mbili kwa walimu wa Kiingereza na Hisabati katika wilaya ya Kondoa. Mafunzo haya yameandaliwa kwa ushirikiano na Mradi wa Shule Bora, unaolenga kuboresha elimu nchini. Kayombo...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna office nimeitembelea leo,office nzima mpaka mkurugenzi hawajui kuongea Kiingereza

    Hii nchi ina vituko sana. Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta. Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Chawa kwa kiingereza jaman

    MSAADA anaejua neno chaw akwa kiingereza maana tunakorlekea hii ndio kazi inayoheshimikaa
  18. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    Write something in English and let chat in English. Please like this thread as agreement with my hoja.
  19. Sisa Og

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

    Habari zenu wakuu? Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills. Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimemshangaa sana aliyesema hapa JF kuwa Waziri Ulega hajui Kiingereza na katutia Aibu Watanzania kwani amejitahidi na kueleweka vyema tu

    Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa nawashangaa sana Watanzania tunaacha Kujivunia lugha yetu adhimu na pendwa Afrika na Duniani kwa sasa ya...
Back
Top Bottom