kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni awasili Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi kutembelea Makambi ya wakimbizi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya kuwasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi ambayo inahusu masuala yanayohusu Wakimbizi waliopo katika...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali

    WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanafunzi asimamishwa masomo baada ya kukutwa nyumbani kwa Mwalimu Saa 6 Usiku wakidaiwa kufanya mapenzi, Mwalimu analindwa na mamlaka

    👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi. 👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni. 👉Mkakati wa kuficha tuhuma kumsaidia mwalimu wabainika- viongozi watajwa kuhusika. 👉Mzazi wa mwanafunzi...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: Wapigakura wapya 224,355 kuandikishwa Kigoma

    Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Julai, 2024. Uboreshaji huo wa Daftari utatanguliwa na uzinduzi wa zoezi hilo utakaofanyika...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kambi za wakimbizi zilizopo kigoma mpaka leo mbona nchi hizo mbili hakuna vita

    Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya wakimbizi nchi hizi mbili hakuna. Ukiangalia nchi Rwanda na Burundi amani na utulivu hupo na watu...
  6. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana

    Sisi watumishi wa sekta ya umma na binafsi tunaofanyaia kazi Mkoani Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana. Wenyeji wa huku wana roho chafu na ya kupinga maendeleo ya wengine Kuanzia Maofisini Hadi mitaani. Kama wewe ni mwenyeji wa mkoa mwingine na unafanyia kazi hapa au...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya kigoma wana akili sana/nyingi?

    Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii. Mfano. Ali kiba Diamond platnumz Haji manara Gavana w bank kuu (Tutuba) Makamu wa rais Mwijaku Baba levo Nk Hebu chunguza tu utagundua wana vipaji...
  9. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa??

    Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa? Kwenu wahusika Pia, soma Wana Kigoma embu jengeni kwenu Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?
  10. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA yaendesha Elimu juu ya athari za magendo Kigoma

    Leo tarehe 02.05.2024, TRA imetoa elimu juu ya athari za magendo kama vile kuhatarisha afya kwa kuingiza bidhaa zisizo na ubora kwa wakazi wa soko la Gwanumpu lililopo Ujirani Mwema mpakani mwa Tanzania na Burundi.
  11. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1. Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi. Kigoma ina watu makini sana...
  12. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kunyimwa vyeti wahitimu wa chuo cha Western Tanganyika, Kigoma

    Naomba niwasilishe kero yangu inayonisumbua nikiwa pamoja na wenzangu tupate ufumbuzi. Tunaomba kujua ni lini chuo cha Western Tanganyika kilichopo kigoma itawapa wanafunzi wake waliohitimu chuo September 2022 kozi ya pharmacy ngazi ya cheti maana waliwaambia wakae vyeti vitatoka na hadi...
  13. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari acha kabisa kutumia neno Ukimbizi kwa watu wa Kigoma

    DOTTO MAGARI nakuonya, Koma kabisa kuendelea kumwita BABA LEVO mkimbizi, hii ni dharau ile ile ya kasumba kwa watu wa Kigoma popote pale wanapokua. Waliokaribu nae wamfikishie, DOTTO anatakiwa kuonywa na kukemewa sio kuchekewa. Matani yao yasiguse maswala mama yanayo isumbua Kigoma na watu...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

    Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokuwa naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama Sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na Shinyanga. Kifupi Kigoma haina sura mbaya hivyo inayoonekana. Ila...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANROADS Yatoa Ufafanuzi Kuharibika kwa Barabara ya Kigoma

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental). Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

    Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa...
  17. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

    Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo.. "Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa Kigoma, Tanga na Kagera wanapatikana maeneo gani zaidi hapa Dar es salaam?

    Wadau hamjamboni nyote? Lengo la Uzi huu ni kutoa fursa ya kufahamiana kwa urahisi sisi tuliotoka mikoani na sasa tunaishi Dar es salaam Hatukusudii kujadili uzuri au ubaya ya Kabila fulani hapa nchini. Niende kwenye mada Kwa hapa Dar es salaam sisi watu wa Mkoa wa Mara na hasa jamii ya...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mchungaji na waumini wanaowapinga kamchape wachezea kipigo kizito kutoka kwa wananchi

    kigoma ni mkoa mgumu sana ukianza kugusia suala la kutokomeza Kamchape
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

    Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi. waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu...
Back
Top Bottom