kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  2. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa chocho,chobingo /Vitongoji vya Kigoma nawataka hapa?

    Kama wewe mtaalam wa chocho na machimbo ya Kigoma. Nipe hizi code Wapi napata 1.Supu nzuri ya samakiiii mkubwaaa😋 2.Kuku chomaaa wa kueleweka😋 3.Kitimoto maridadi kabisa😋 4.Ugali wa lowa😋
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza mshindi kabla ya Uchaguzi akihitimisha kampeni

    Waguu Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma Yafurika, Umati wajitokeza kuhitimisha Kampeni za Zitto Kabwe na Chama Chake

    https://www.youtube.com/watch?v=yAJUwVQvbUo
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: CHADEMA na ACT Wazalendo waungana kusimamisha wagombea katika vijiji viwili kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!

    Vyama vya siasa Chadema na ACT Wazalendo vimeungana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, kwa kugawana nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, Abdul...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mgombea ACT aahidi sherehe ya ushindi baada ya uchaguzi

    Wakuu, Kuna tafrija huko tumeandaliwa mapochopocho tukajirushe. ==== Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zedekia Mathias, ameahidi kuandaa tafrija nyumbani kwake kusherehekea ushindi...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Zitto: Kama Dkt. Mpango aliitwa Mrundi nani wa Kigoma atapona?

    Wakuu, Mpaka tar 27 mambo yatakuwa motooo! ==== Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Ninazeeka nahitaji wasaidizi, Chagueni ACT- WAZALENDO tushirikiane kutetea maslahi ya Kigoma

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mwenyekiti wa kijiji aliyemaliza muda wake kupitia CCM amuombea Kura Mgombea wa ACT Wazalendo

    Wakuu! Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM? =================== Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Wananchi waipongeza TAMISEMI mchakato Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mbona ghafla kila sehemu wanaanza kuipongeza OR TAMISEMI? Yaani ni kama wote wamepewa script moja :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:, mbinu ni zile zile CCM hamjui kunyumbulika kabisa! ===== Kupata mijadala kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa Barabara ya Mpanda kwenda Kigoma na Sitalike kwenda Kibaoni wako wapi?

    Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo zimeenda bure mbona mambo yamesimama? Wananchi tulitegemea barabara itakamilika kujengwa kwa wakati...
  13. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Wakuu niko natoka Kigoma kwenda mwanza!! Niwekeeni story ya kutembea nasoma

    Wakuu, Iwe kuhusu vita migogoro, Visa katika utafutaji Najua kuna nyuzi humu zingine sijawai ziona
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waliopo Barabara ya Mpanda Hotel - Kigoma watengewe eneo la biashara, walipo sio salama kwao

    Sisi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi tunaomba uongozi wetu wa Manispaa uchukue hatua za haraka kuwaondoa wajasiriamali wanaoweka bidhaa pembezoni mwa Barabara ya Mpanda Hotel kwenda Kigoma kwa kuwa ni hatari kwa usalama wao na wale wanaotumia Vyombo vya Moto Wananchi wa hapa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Ujenzi wa Soko la Mwanga na Katonga Utaimarisha Mazingira ya Biashara Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Kigoma wavamia kambi na kugoma kuondoka hadi wamuone Debra Fernandez Mavambo

    Mavambo ameshika waha wa Kigoma huko, umati wa mashabiki umegoma kuondoka kambini maw Simba wakitaka wamuone kiungo fundi Fernandez Mavambo
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Moto wa vurugu katika kura za maoni CCM umeendelea kukolea

    Vurugu zimezuka kura za maoni Uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera Serikali za mitaa Chama cha Mapinduzi mtaa wa Mwanga mkoani Kigoma mara baada ya wananchi kutoridhika na mchakato wa uchaguzi huo.Wajumbe hao wamalalamikia wizi wa kura uliofanywa na baadhi ya viongozi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Martin: Mwigulu tueleza ongezeko la Sh 1.85 Trilioni kwenye Mkataba wa Ujenzi wa SGR Tabora hadi Kigoma kabla ya kuomba fedha China na Benki ya Dunia

    Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo. Ingawa TRC ilitangaza makubaliano ya ujenzi na kampuni ya CCECC Desemba 2022, kuna maswali juu ya tofauti ya bei...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Naibu Waziri Katimba awataka Wasimamizi wa Uchaguzi kuendelea kuhamasisha wananchi kujiandikisha

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewaelekeza wasimamizi wa uchaguzi katika mamlaka za serikali za Mitaa kuendelea kuhamasisha na kuweka mabango yanayoelekeza vituo vya kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo mkoani...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mikoa ya Mpanda, Kigoma, Rukwa na Ukerewe Mwanza ni 100% Wife Material

    Leo Kazi ipo hapa, ila ukiona GENTAMYCINE kaja na Jambo hapa jua kwa 101% liko kweli na nimeshalifanyia sana Utafiti.
Back
Top Bottom