Ndugu zetu wa Kigoma, Tanga na Kagera wanapatikana maeneo gani zaidi hapa Dar es salaam?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Lengo la Uzi huu ni kutoa fursa ya kufahamiana kwa urahisi sisi tuliotoka mikoani na sasa tunaishi Dar es salaam

Hatukusudii kujadili uzuri au ubaya ya Kabila fulani hapa nchini.

Niende kwenye mada

Kwa hapa Dar es salaam sisi watu wa Mkoa wa Mara na hasa jamii ya Wakulya tunapatikana kwa wingi maeneo ya Ukonga, Kitunda, Kivule, Gongolamboto, Mombasa, Chanika, Segerea na maeneo mengineyo kadhaa

Kwa Ndugu zetu wa Kilimanjaro na Iringa wengi utawakuta kuanzia Ubungo, Kimara , Mbezi , hadi kibaha

Kwa Ndugu zetu wa Mikoa ya mtwara na Lindi wengi wanapatikana Temeke, Tandika, Mbagala, Buza, Kongowe n k

Naomba kujua Ndugu zetu wa kutokea Kagera, Tanga, Kigoma , wanapatikana sehemu zipi hasa hapa jijini Dar es salaam?

Aksanteni sana
 
Kuna biashara hapa mjini waha wamejimilikisha, ukikuta watu watano wanatembeza vyombo ukiwasalimia Mwidiwe, wanne wanakujibu.
+wauza matunda
 
Kuna biashara hapa mjini waha wamejimilikisha, ukikuta watu watano wanatembeza vyombo ukiwasalimia Mwidiwe, wanne wanakujibu.
+wauza matunda
Nilikuja kwenye hii thread kumwambia mleta mada kuwa wauza Matunda wote ni Waha, mfano yule muuza madafu wa Ikulu
 
Back
Top Bottom