Kambi za wakimbizi zilizopo kigoma mpaka leo mbona nchi hizo mbili hakuna vita

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
4,267
10,275
Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya wakimbizi nchi hizi mbili hakuna.
Ukiangalia nchi Rwanda na Burundi amani na utulivu hupo na watu wanafanya biashara kila kukicha.

Ingekuwa labda wakongo kule goma sawa mwenye ktujuza kwa nini zimeshindwa kufungwa.
 
Mtoa post hii n biashara kubwa sana kwa wapiga dili wa UN...kupitia mashirika yao kama UNHCR... huko ndo kuna human trafficking, weapon black market znapitia sana kwenye kambi za wakimbizi...pamoja na kuwa center za ukufuzi kwa waaasi wanaoungwa mkono na westerners...
I REMEMBER Magu alisema lazma
zifungwe alipoingia huyu bi kidude ndo basi tena ....
 
Mtoa post hii n biashara kubwa sana kwa wapiga dili wa UN...kupitia mashirika yao kama UNHCR... huko ndo kuna human trafficking, weapon black market znapitia sana kwenye kambi za wakimbizi...pamoja na kuwa center za ukufuzi kwa waaasi wanaoungwa mkono na westerners...
I REMEMBER Magu alisema lazma
zifungwe alipoingia huyu bi kidude ndo basi tena ....
Basi tena kuvipi wakati mwezi wa 12 ni mwisho kwa wakimbizi hao kuwa nchini
 
Waha wenyewe walishatoka vijijini wanaishi makambini Kwa kujifanya wakimbizi ili wanufaike na mgao WA chakula bure kila wiki.
Cha kushangaza kambi kila kukicha inajaa na chengine zaidi kwa sasa kushakuwa sio kambi ni kijiji ambacho uwezi kuwaondoa washakuwa wenyeji na wazawa sasa
 
Mfano kambi ya nyarugusu iliyoko makere kasulu ni mradi WA watu wakiwemo polisi.

Nizungumzie hili la namna polisi wanavyonufaika na uwepo WA wakimbizi.
1. Kutoka TSH. 4000/ Kwa kila mzigo unaoingia au kutoka kambini.

Hapa polisi wamejigawa katika makundi mawili Kwa kila gate...kundi la Kwanza husimamia mbali na gate na hili hutoza TSH 2000/ Kwa kila mzigo hata kama ni kibaba cha unga.
Kundi la pili wao husubilia getini nao pia hutoza TSH 2000/ so jumla kuu ni 4000/.

Hali hii imepelekea biashara kubwa kuwa ni mkaa maana wakimbizi wanapotoka kwenda kutafuta riziki hulazimika kujiongeza Kwa kubeba mkaa maana watauuza humo kambini. Therefore huchangia kuharibu mazingira yetu.

Wakimbizi WA Burundi warudi kwao tubaki na wakongo.
Congolese are not destructive kama warundi.
 
Imeshakuwa ni kijiji na watu wake kama vijana wamezagaa mikoani wanaona kama wazawa na wala hakuna shida .jiji la mwanza wamejaa sana
Baba yake kibu Denis Yule mrundi anaishi hapa na watu wanajua. Serikali yetu ni onevu Sana Kwa wananchi wake....inapendelea Sana wageni
 
Back
Top Bottom