Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,806
18,382
Sisi watumishi wa sekta ya umma na binafsi tunaofanyaia kazi Mkoani Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana.

Wenyeji wa huku wana roho chafu na ya kupinga maendeleo ya wengine Kuanzia Maofisini Hadi mitaani.

Kama wewe ni mwenyeji wa mkoa mwingine na unafanyia kazi hapa au uliwahi kufanya kazi Mkoani Kigoma Nina uhakika utakubaliana na mimi.

Huku ni mwendo wa uzushi na majungu tu.

Jamii ya kiduwanzi sana hii
 
Nenda kamuone Juma Njemba atakusaidia

Hao ni waha tu. Hao jamaa sijui wana shida gani nina uzoefu nao. Mimi nadhani ni ujinga tu kwa sababu ya kukosa exposure
 
Ukienda sehem ngeni ishi kama wao, ukienda against hutadumu, hiyo ni ulimwengu mnzima siyo kigoma tu.

Labda ujitenge kabsa na hiyo jamii kama wanavofanya wawekezaji wao wanadeal na mambo yao yaliyowapeleka eneo Hilo.
 
"I am a very kind guy,I treat everyone with kindness.But if you are unkind to me,then kindness is not what you will remember me for"
-Al Capone
 
Ukienda sehem ngeni ishi kama wao, ukienda against hutadumu, hiyo ni ulimwengu mnzima siyo kigoma tu.

Labda ujitenge kabsa na hiyo jamii kama wanavofanya wawekezaji wao wanadeal na mambo yao yaliyowapeleka eneo Hilo.

Siyo rahisi kuishi kama wao. Maana wao hawana mtazamo kama wako. Ukijichanganya, usimlaumu mtu. Wala pia usimtafute mchawi.
 
Sisi watumishi wa sekta ya umma na binafsi tunaofanyaia kazi Mkoani Kigoma tunaishi kwa mabavu, wenyeji wanatupiga vita sana.

Wenyeji wa huku wana roho chafu na ya kupinga maendeleo ya wengine Kuanzia Maofisini Hadi mitaani.

Kama wewe ni mwenyeji wa mkoa mwingine na unafanyia kazi hapa au uliwahi kufanya kazi Mkoani Kigoma Nina uhakika utakubaliana na mimi.

Huku ni mwendo wa uzushi na majungu tu.

Jamii ya kiduwanzi sana hii
siku zote huwa ni ngumu sana kwa wafanyakazi wa umma kufanya kazi maeneo yenye watu wanaoringia uchawi, kufuga majini, umwinyi n.k. ni shida ndio maana maeneo hayo yamebaki masikini wa kutupwa.
 
Hii ni kweli, Mungu awalinde, ukiona sehemu wanazungumza sana kikabila ujue maendeleo ni kidogo, ushirikina ni mwingi. Usiende kutafuta maisha sehemu ya hivo. Akhsante🙏
 
Back
Top Bottom