kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
  2. JamiiForums Tanzania Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  3. JamiiForums Tanzania Open Letter: Rais Samia, TRA isiyo na Support yako, ni Kifo cha Taifa

    Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia. Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti...
  4. JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI: Je, Magufuli ameondoka na Corona? Hatusikii tena kelele zake

    Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania. Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
  5. T

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

    MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ametishiwa maisha, baada ya ripoti yake aliyoitoa hivi karibuni kuibua madudu mengi yaliyogusa baadhi ya watumishi wa umma, Raia Mwema imefahamishwa. Taarifa za ndani kutoka familia yake, zimethibitisha kuwapo vitisho dhidi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amtumia salamu za rambirambi Malkia Elizabeth II kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip!

    Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi malkia Elizabeth wa Uingereza kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip. Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati tunajipatia uhuru. Source BBC Dira ya Dunia
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Hii ni habari mbaya sana maana ni ngumu kuiamini. ---- Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Ilala linamshikilia Juma Shamata kwa kushindwa kuhifadhi eneo salama bastola yake, hali iliyosababisha mtoto wake wa miaka 17 kuitumia kwa kumpiga risasi mtoto mwenzie Ikhissan Abdilahi (10) na kumsababishia...
  8. JamiiForums Tanzania Watu husema kama hauwezi kusema kitu kizuri basi usiseme neno

    Watu husema kama hauwezi kusema kitu kizuri basi usiseme neno. Nicholas Nassim Taleb pia maneno yake wakati mwingi hunukuliwa; "If you see fraud and do not say fraud, you are a fraud" That's how highly moral societies of an African origin have been doing even since before our ages. Anyway, if...
  9. JamiiForums Tanzania Siku 21 za maombolezo ya kifo cha Rais Magufuli zafika ukingoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa makamu wa Rais alitangaza kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Magufuli Machi 17, 2021 na kutangaza maombolezo ya siku 21 kwa mujibu wa sheria. Hayati Rais Magufuli amefanyiwa maombolezo yakiwa ni pamoja na bendera...
  10. JamiiForums Tanzania Kuta za Darfur.... Mstari wa kifo

    RIWAYA; KUTA ZA DARFUR. NA; BAHATI K MWAMBA. SIMU; 0656741439/0758573660. 1: Alikuwa akikatiza katikati ya mitaa ya jiji la Dar Es laam akiwa amening'iniza mfuko kwenye mkono wake wa kulia, mkono wake wa kushoto aliutumbukiza kwenye mfuko wake wa suruali. Alitembea...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dkt. Magufuli chaacha sintofahamu kubwa kwa wafanyakazi

    Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo. Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Our beloved late President Magufuli: Was he a science denier or a threat to the Empire?

    While his COVID-19 policies have dominated media coverage regarding his disappearance and suspicious death, Tanzania’s John Magufuli was hated by the Western elites for much more than his rebuke of lockdowns and mask mandates. In particular, his efforts towards nationalizing the country’s...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America. Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake...
  14. JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  16. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    Habari zenu Nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana 1:Kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye...
  17. JamiiForums Tanzania CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

    Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa. Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  19. JamiiForums Tanzania ATCL vipi flights za Dar - Chato zitaendelea baada ya kifo cha Dkt. Magufuli?

    Nauliza tu vipi ATCL zile trips za Dar -Chato, Chato-Dar zitaendelea kama mlivyokuwa mkitangaza au ndio basi tena? Kama zitaendelea good. Kama hazitaendelea basi unafiki uliwatawala na hakika mtafilisika soon maana hamna vision. You are like wind, you have no specific direction or goals.
  20. JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kimeiweka pabaya CCM kama itashindwa kuendeleza kazi aliyoanzisha

    Kwa wanaokumbuka kilichoitokea KANU nchini Kenya baada ya Daniel arap Moi kuachia madaraka mwaka 2002 watakumbuka maneno haya kutegemea na CCM itakavyoendesha utawala wake baada ya kifo cha John Magufuli. Kama watagombania madaraka au kuyatumia vibaya na upinzani ukajizatiti, unaweza kuwa mwisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…