Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,879
155,846
Wanawake:-
Jumatatu - kichwa kinauma

Jumanne - nilikuwa bize nimechoka Sana

Jumatano - Nina blidi

Alhamis - Nina blidi

Ijumaa - Nina blidi

Jumamosi - Nina blidi

Jumapili - naumwa kiuno siwezi hata kugeuka

Jumatatu - kichwa kinaniuma

Jumanne - nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia

Jumatano - Nina stress ya vicoba

Alhamis - Nina stress ya rejesho saccos

Ijumaa - Mama yako kanipigia simu kanigombeza

Jumamosi - Naenda kitchen party ntarudi nimechoka.

Wanaume:-
Jumatatu - Bar na washikaji Hadi alfajiri

Jumanne - Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera

Jumatano - UEFA Champions League Hadi saa tisa

Alhamis - Europa

Ijumaa - Live band Hadi asubuhi

Jumamosi - Asubuhi supu na washikaji, Mchana nyama choma na washikaji,Jioni bia na washikaji Hadi majogoo

Jumapili - Bia na washikaji Hadi usiku wa manane

Jumatatu - Kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku

Jumanne - SMS ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili. Mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa.
 
images (14).jpeg
 
Daah! hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala! Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Pepo la masumbuko ndilo limtesalo
 
Bra...
Hii ni zaidi ya ma seminar elfu 40 Ya kijinga jinga wanayoenda wake zetu, hii na print naiwekea frame naweka pembeni ya dressing table leo nikitoka tu kazini!

Isipoleta mabadiliko kwa kweli ninaelekea kuoa tena ndugu zangu!
Hi uki print lazima ilete badiliko, ina upako kuliko maji ya upako ya Mwamposa
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala! Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Hapo kwenye kujua hana mchepuko kuwa makini sana mkuu. Hawa viumbe sio kbisa katika kuficha issue zao wakiamua. All in all furaha ya mtu ipo kwa mtu mwenywe sijawahi kusikia mtu anapata furaha kwa mwanamke labda ya mda tu so kama vipi tafuta sehemu ya kupata furaha yako life lenywe ni fupi ili.
 
Wengi ukiona mtu anaanza kukesha bar na ku-spend muda mwingi na washikaji / Mara UEFA or Europa.

Hapo anakimbia kelele za mwanamke nyumbani!

Yeremia : Mlango 31​

22 Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.

Mithali : Mlango 14​

1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake;Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala! Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Aisee
 
Ndoa nyingi huvunjwa na wanawake sisi wanaume tunakuja kumalizia tu
"Aanzae havumi amaliziaye ndiye huvuma"

Kuna rafiki yangu mmoja alitoka kazini jioni kamkuta bibie kanuna kumuuliza kisa kakaa kimya Siku ikapita.
Kesho yake katoka kazini kakuta hajaandaa chochote kijana wawatu kauliza vp mama chanja mbona hivi akamjibu kwamba leo tangu asubuhi hajiskii kutoka nje hapo sababu ya msingi hana,
Yule rafki yangu baaada ya kuambiwa kama yeye hatoki nje basi, jamaa akaamua kugawa zawadi ya makofi majirani wakaja hapo lawama zote zilienda kwa mwanaume lakini aliyeanza kuharibu ni mwanamke

"Hakuna Mwanaume mkaidi mbele ya Mwanamke mtiifu"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom