kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Nguruwe akila pilipili anakufa?

    Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife? Msaada tafadhali ndugu wafugaji
  2. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Rais Benjamin William Mkapa

    TAAZIA YA DR. DAU KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA YALE MAKUBWA NA MAZITO AMBAYO HAKUYASEMA Hakuna kitu kinagusa fikra na linabaki akilini na kuhifadhika kwengineko kama neno lililoandikwa. Aliyesoma taazia ya Dr. Dau kwa rafiki yake Benjamin William Mkapa atakuwa ameona kanitaja kuwa mimi ndiye...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

    Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso. Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda...
  5. JamiiForums Tanzania Lengo kuu la kuishi/Uhai ni ku enjoy hisia zetu na kuzi balance, kifo ni matokeo ya ku over/under feelings

    Habari wakuu hope mpo njema sana na sawia, kabla sijaingia katika maada kwanza tupeane pole kwa mtikisiko wa sasa unao ikumba hii Dunia yetu, hatuna Dunia ingine ya kuhamia kwa uharaka, Hata kama ingekuwapo basi tungehamia lakini tungehamia na magonjwa yetu,dhiki zetu,njaa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Kifo cha mtu uliyemzoea mtihani mgumu sana kufaulu

    KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA. Habari wakuu,poleni na majukumu Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O. Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

    Tushirikiane kulidadavua hili kwa pamoja kila mtu kwa imani yake na kwa brain yake. Maana kabla ya hapa duniani hatukumbuki tulikuwa wapi. Je, baada ya hapa duniani tutakutana tena baada ya hapa au ndio tunamaliza kila kitu hapa.
  8. JamiiForums Tanzania Shahidi: Sabaya alinifunga Pingu miguu na Mikono na nilipigwa nusu ya kifo

    Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
  9. JamiiForums Tanzania Mungu alivyomjibu mtesi wa Oliver N'Goma, dikteka Omary Bongo

    Mwaka 2008 nguli wa Zouk barani Afrika, Oliver Ngoma aliugua figo na alihitaji matibabu nje ya nchi. Lakini aliwekewa zuio la kusafiri nje. Serikali ya Rais Omary Bongo ilimtuhumu Oliver kwamba anaandaliwa na mataifa ya Ulaya kuwa Rais wa Gabon. Japo Oliver alikanusha madai hayo lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
  11. JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa CCM

    Tukiwa bado tunatafakari mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, hali inaonekana sio shwali ndani ya chama hicho. Nasema hali sio shwari, kwani kila mtu amekuwa na hofu kubwa, hasa wale wadadisi ndani ya chama. Inavyoonekana kwamba sasa hivi JPM ameamua...
  12. JamiiForums Tanzania Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

    Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu. Lakini Nina swali moja nakosaga jibu. Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua. Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe mpate CEO asiyejishughulisha kusoma; mtaua kampuni

    Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa kasaini mkataba wenye mapungufu lukuki akiamini cabnet yake watasoma. Kabinet nalo likaamini Wataalamu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uzoefu unaonesha kuwa wote wanaobeza covid-19, huishia kufa kwa ugonjwa huo

    Uzoefu unaonyesha kuwa watu wote wanaobeza corona, huishia kufa kwa Corona, hivyo huyu mchungaji atafuata mkondo ule ule na hatamaliza hata miezi 6 na akibahatika sana, basi ni mwaka mmoja. Kingine nachokiona kuhusu huu ugonjwa ni kuwa, ukiwa maarufu au mtu mwenye ushawishi katika jamii na...
  15. JamiiForums Tanzania Rombo, Kilimanjaro: Ugomvi wa familia wasababisha kifo

    John Wilbard, mkazi wa kijiji cha Chala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Amedeus Kavishe. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema Wilbard anadaiwa kufanya mauaji hayo wakati wa ugomvi wa...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waliomzushia kifo Rais Museveni kukamatwa

    Rais Yoweri Museveni ameagiza vikosi vya usalama kuwatafuta kwa haraka watu walioneza habari za uongo za kifo chake.Rais Museveni aliyasema haya katika sherehe ya kuapishwa kwa wabunge katika uwanja wa Kololo mjini Kampala. My Take: Nahisi kuanza kupata majibu ya kwa nini wakuu waliogopa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kinachowauma CHADEMA sio Katiba Mpya bali ni Mbowe na Lissu kutoalikwa Ikulu

    Ndugu zangu, Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini. Muda umepita sasa, hawajaalikwa, wamekasirika, wana hasira...
  18. JamiiForums Tanzania Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

    Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 . Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Euro 2020: Kweli lilikuwa kundi la kifo

    Yalipopangwa makundi ya michuano ya Euro 2020, kuna kundi liliitwa la kifo. Lilijumisha mabingwa wa dunia Ufaransa; mabingwa wa Ulaya watetezi Ureno; mabingwa wa kihistoria wa ulaya na dunia Ujerumani na Hungary. Baada ya michezo ya makundi, Hungary akauwawa. Wakapona Ufaransa, Ujerumani na...
  20. JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?

    Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu. Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…