Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,298
22,782
Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani ..

Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.!

Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..!

Yaani wamejaa ushamba na usimba mwingi sana, na hili liko wazi coastal imejaa viongozi waliokuwa Simba kama Binslum mwenyewe..

Wao wakifungwa na wenzao Simba kwao si sawa, ila wakifungwa na yanga wanatafuta mchawi.. hawajui yanga imewazidi quality kubwa sana kwanzia mchezaji mmoja mmoja..!

Walipofungwa kule tanga wakadai wanasoma albadili sijui kwamba wanaamini kuna mtu aliwauza!.

Safari hii mbissa ndo mbuzi wa kafara..!

Coastal wakiwa wanacheza na simba unaona kabisa sense ya undugu baina yao na hata viongozi wao wanagonga Cheers sana na kufurahia kabisa, ndugu wagombane nini sasa maponjoli hawa?

Na yalivyo mazuzu yameuza wachezaji hovyo hovyo kwenda kwa kwa ndugu zao wawili azam na simba.
Sopu-azam
Akpan-simba

Kitu ambacho wasingekubali kuwauzia yanga kama wangewaomba hata iweje..!

Wataishia hivi hivi miaka yote wakiendelea kutumika na simba..
 
148175013_465951804439411_4631704196708861412_n.jpg
 
Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani ..

Nimesikia kuwa kipa wao mussa mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.!

Unajiuliza mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..!

Yaani wamejaa ushamba na usimba mwingi sana, na hili liko wazi coastal imejaa viongozi waliokuwa simba kama binslum mwenyewe..

Wao wakifungwa na wenzao simba kwao si sawa,ila wakifungwa na yanga wanatafuta mchawi.. hawajui yanga imewazidi quality kubwa sana kwanzia mchezaji mmoja mmoja..!

Walipofungwa kule tanga wakadai wanasoma albadili sijui kwamba wanaamini kuna mtu aliwauza!.

Safari hii mbissa ndo mbuzi wa kafara..!

Coastal wakiwa wanacheza na simba unaona kabisa sense ya undugu baina yao na hata viongozi wao wanagonga Cheers sana na kufurahia kabisa, ndugu wagombane nini sasa maponjoli hawa?

Na yalivyo mazuzu yameuza wachezaji hovyo hovyo kwenda kwa kwa ndugu zao wawili azam na simba.
Sopu-azam
Akpan-simba

Kitu ambacho wasingekubali kuwauzia yanga kama wangewaomba hata iweje..!

Wataishia hivi hivi miaka yote wakiendelea kutumika na simba..
Mwamnyeto aliuzwa wapi!!??
Mashabiki ya Yanga ni majingajinga tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom